您搜索了: culture and diversity (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

culture and diversity

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

both sing about tibetan identity, culture and language.

斯瓦希里语

wawili hao wanaimba kuhusu utambulisho wa kitibeti, utamaduni na lugha.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

entrepreneurship, culture and solidarity in africa · global voices

斯瓦希里语

ujasiriamali,utamaduni na mshikamano katika afrika

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

blogging about culture and interracial marriages · global voices

斯瓦希里语

kuchapisha bloguni kuhusu utamaduni na ndoa za watu wa asili tofauti

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

video highlights: protests, elections, culture and gv · global voices

斯瓦希里语

dondoo za video: maandamano, chaguzi, utamaduni na gv

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

alex knows so much about tajikistan’s history its culture and its institutions.

斯瓦希里语

alex anajua mengi kuhusu historia ya tajikistan utamaduni wake na taasisi zake.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

papuan voices introduces readers to other aspects of papuan culture and history:

斯瓦希里语

mradi wa sauti za wa-papua unawajulisha wasomaji mambo mengine yanayohusu utamaduni na historia ya watu wa papua:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

and great food, excursions, culture and celebration always find a place in the schedule.

斯瓦希里语

chakula kizuri, mitoko, utamaduni na sherehe hupata nafasi kwenye ratiba.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in cameroon, richard ewelle's post in kamer blog concludes on culture and entrepreneurship in africa:

斯瓦希里语

nchini cameroon, posti ya richard ewelle katika blogu ya kamer inahitimisha kuhusu utamaduni na ujasiriamali barani afrika:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

later in 1967, hcov-oc43 was isolated from organ culture and subsequent serial passage in brains of suckling mice.

斯瓦希里语

baadaye katika mwaka wa 1967, virusi vya hcov-oc43 vilitolewa kutoka kwa ukuzaji wa kiungo na upandikishaji katika bongo za panya walionyonyesha.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

iran's culture and islamic guidance minister, ali jannati, said "iran can not block facebook forever."

斯瓦希里语

waziri wa utamaduni na ulinzi wa uislamu wa iran, ali jannati, alisema "iran haiwezi kuufungia mtandao wa facebook milele."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

one element of the campaign was calling on culture and policy makers to work in their sphere of influence to stand up for kony’s child soldiers.

斯瓦希里语

moja ya kipengele cha kampeni ilikuwa kutoa wito kwa watunga sera kufanya kazi katika shughuli zao za ushawishi kusimama imara kupinga askari watoto wanaotumiwa na kony.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

her blog which is barely one year old confronts issues of trafficking of african women for prostitution, love, culture and celebration of african men among other themes,

斯瓦希里语

blogu yake ambayo ni ya kadri ya mwmaka mmoja inazungumzia masuala kama usafirishaji wa wanawake wa kiafrika kwa ajili ya ukahaba, mapenzi, utamaduni na usherehekeaji wa wanaume wa kiafrika kati ya dhima nyinginezo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

she blogs at sacando la lengua about languages, literature and interactions in society, and deeply believes in the uniqueness and importance of every culture, and in the study of them as a mirror to our own.

斯瓦希里语

yeye huendesha blogu inayoitwa sacando la lengua inayohusu lugha, fasihi na miingiliano ya watu katika jamii, na anaamini kabisa kwamba kila utamaduni ni wa pekee na ni muhimu sana, na kwamba tukijifunza tamaduni hizo tunapata kujiona wenyewe vizuri zaidi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

when we as men and women kiss, for love or fraternity, we exercise our equality as citizens and we display the double standards that spark homophobia, sexism, the discriminatory attitudes that mark the root of our culture and which we must change.

斯瓦希里语

kama wanaume na wanawake wanapobusiana, iwe kwa mapenzi au kwa kufahamiana, wanafanya hivyo kututumia haki yao ya usawa kama raia na inakuwa ni kuonyesha ajabu kuona kuwa kufanya hivyo ni kukuza hisia woga na chuki kwa mashoga, hali za kimapenzi, na hisia za kibaguzi zinazokuwa mzizi wa utamaduni wetu na ambazo lazima tuzibadilishe.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

mohmmad ali abtahi, former reformist vice president and blogger, writes that when he was the deputy of the ministry of culture and islamic guidance, he met an iranian official who had "bought" his ph.d. according to abtahi, it seems the price was around us$1000.

斯瓦希里语

mohmmad ali abtahi, aliyekuwa makamu wa rais katika serikali ya kimageuzi na ambaye pia ni mwanablogu, anaandika kwamba enzi zake alipokuwa naibu waziri wa utamaduni na miongozo ya kiislamu, aliwahi kukutana na afisa mmoja wa irani ambaye aliwahi 'kununua' shahada 'feki' ya udaktari. abtahi anasema kwamba bei ya kununua cheti kama hicho ilikuwa ni karibu dola za marekani 1000.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,794,779,490 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認