您搜索了: damages (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

damages

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

damages from cyclone bejisa in the city of saint-denis

斯瓦希里语

uharibifu uliofanywa na kimbunga bejisa katika jiji la mtakatifu denis

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the damages were a bit distrubing when we entered the municipality of ivisan.

斯瓦希里语

uharibifu ulikuwa wa kusikitisha kidogo wakati tunaingia manispaa ya ivisan.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

here is a summary of the damages, according to irin, via reliefweb:

斯瓦希里语

ufuatao ni muhtasari wa uharibifu uliotokea, kwa mujibu wa shirika la irin kupitia relief web:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

across the country, the toll was heavy in human loss and material damages.

斯瓦希里语

kote nchini, idadi ya vifo na kiasi cha uharibifu kilikuwa kikubwa mno.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

universidad central reported damages around 20 million pesos after the student march.

斯瓦希里语

chuo kikuu cha central kilitoa taarifa kuwa kulikuwa na matukio ya uharibifu wa mali zenye thamani ya pesos milioni 20 baada ya maandamano ya wanafunzi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a few days after passing madagascar, the official toll from the damages caused by cyclone fanele have finally come in.

斯瓦希里语

baada ya siku chache kupita nchini madagaska, idadi rasmi ya madhara yaliyosababishwa na kimbunga kilichopewa jina la fanele zimewasilishwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

here are additional photos and videos of the damages taken by local citizens: video of cylone bejisa in reunion island by animax2013 on youtube.

斯瓦希里语

zifutazo ni picha nyingine zilizopigwa na raia waishio nchini humo: video ioneshayo kimbunga bejisa katika kisiwa cha reunion. video imewekwa na animax2013 katika mtandao wa youtube.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in july, a criminal court sentenced an employer to two months in prison, imposed a fine, and required her to pay damages and compensation to a migrant domestic worker whose wages she had not paid for years.

斯瓦希里语

mwezi julai, mahakama ya makosa ya jinai ilimuhukumu mwajiri mmoja kifungo cha miezi sita gerezani, kutozwa fidia, na kutakiwa kulipa fidia ya uharibifu pamoja na kulipa mishahara ya mfanya kazi wake wa ndani ambaye hakuwa amemlipa kwa miaka kadhaa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

that hassan s/o saidd mzava on the day of 31st march 2020 at about 1000hrs at opec mine block d in mirerani at simanjiro district in manyara region being a driver and incharge of a motorvehicle with a reg.no. t954aex make bedford you drive the said motorvehicle carelessly and at result you knocked one electric pillar and you caused damage to electricity infrastructure

斯瓦希里语

kwamba hassan alisema siku ya tarehe 31 machi 2020 saa takriban 1000hrs kwenye uwanja wa opec mine block d kule mirerani wilayani simanjiro mkoa wa manyara kuwa dereva na incharge ya gari na reg.no. t954aex fanya bedford iweze kuendesha gari iliyosemwa kwa uangalifu na matokeo yake uligonga nguzo moja ya umeme na ukasababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme

最后更新: 2020-04-15
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,740,642,789 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認