来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
but exhort one another daily, while it is called to day; lest any of you be hardened through the deceitfulness of sin.
maadamu hiyo "leo" inayosemwa katika maandiko bado inatuhusu sisi, mnapaswa kusaidiana daima, ili mtu yeyote miongoni mwenu asidanganywe na dhambi na kuwa mkaidi.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
and the cares of this world, and the deceitfulness of riches, and the lusts of other things entering in, choke the word, and it becometh unfruitful.
lakini wasiwasi wa ulimwengu huu, anasa za mali na tamaa za kila namna huwaingia na kulisonga hilo neno, nao hawazai matunda.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
he also that received seed among the thorns is he that heareth the word; and the care of this world, and the deceitfulness of riches, choke the word, and he becometh unfruitful.
ile mbegu iliyoanguka kati ya miti ya miiba, ni mfano wa mtu asikiaye huo ujumbe, lakini wasiwasi wa ulimwengu huu na anasa za mali huusonga ujumbe huo, naye hazai matunda.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量: