您搜索了: discusses (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

the report discusses the term limit extension phenomenon in african politics:

斯瓦希里语

taarifa inajadili dhana ya kuongeza ukomo wa mihula ya utawala katika siasa za afrika:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

rebecca, an active kenyan blogger, discusses the workshop on her blog:

斯瓦希里语

rebecca, mwanablogu wa kenya, anaandika haya kuhusu warsha hiyo:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in another post, afrogay discusses what might be happening behind the scenes:

斯瓦希里语

katika posti nyingine, afrogay anajadili kile ambacho kinaweza kikawa kinatokea nyuma ya pazia:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

marianna discusses latest efforts by zimbabwean prime minister to end zimbabwe's political crisis.

斯瓦希里语

katika th!nk about it, adela anaandika kuhusu siku ya kimataifa ya bahari nyeusi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

faheem haider at bangladesh foreign policy blog discusses about the abuse of children and child workers in pakistan and bangladesh.

斯瓦希里语

faheem haider kupitia blogu ya bangladesh foreign policy anajadili kuhusu vitendo vya unyanyasaji watoto na watoto wanaotumikishwa katika nchi za pakistani na bangladeshi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

erik hersman who blogs at white african, discusses media platforms obama intends to use to reach out to africans beyond ghana.

斯瓦希里语

erik hersman anayeblogu kwenye blogu ya white african, anajadili majukwaa-nyenzo ya habari ambayo obama anakusudia kuyatumia ili kuwafikia waafrika zaidi ya wale wa ghana.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

aaron leaf discusses how the liberian president, ellen johnson sirleaf, is often presented by western media as an avatar of all things good.

斯瓦希里语

aaron leaf anajadili jinsi taswira ya rais wa liberia, ellen johnson sirleaf, hujengwa na vyombo vya habari kimagharibi kama alama ya mambo yote mazuri.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

bunmi oloruntoba at a bombastic element discusses the re-branding campaign in the context of a recent bbc discussion on the subject:

斯瓦希里语

bunmi oloruntoba katika blogu ya a bombastic element anajadili kampeni ya kutengeneza chapa mpya katika muktadha wa mjadala wa hivi karibuni kwenye bbc juu ya suala hilo:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

blogger and adoptive parent all buttoned up discusses thanking her representative for pushing for tps and also requests help for haiti's many orphans, writing:

斯瓦希里语

mwanablogu na mzazi anayeasili all buttoned up waliungana na kumshukuru mwakilishi kwa kusaidi upatikanaji wa tps na pia wanaomba kwamba msaada zaidi utolewe kwa mayatima wengi walio nchin haiti, anaandika:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

solana discusses the issue of "unnamed sources" in western media reports in her post titled "when local sources go unnamed":

斯瓦希里语

solana anajadili suala la ‘chanzo kisichotaka kufahamika’ katika taarifa za vyombo vya habari vya kimagharibi kwenye makala yake aliyoipa jina la “wakati vyanzo vya mahali vinapochagua kutokuwa na jina”

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

while some believe the historic documents could ease ongoing border disputes, researchers doubt they exist at all. joseph edward discusses the issue of missing colonial-era maps of the south sudan border.

斯瓦希里语

huku baadhi a watu wanaamini kwamba nyaraka hizo za kihistoria zinaweza kupunguza migogoro ya mpaka inayoendelea, watafiti wanatilia shaka uwepo wa ramani hizo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

david ajao discusses nigerian president facebook page: "through a facebook page opened on 28th june 2010, he has systematically been sharing his belief in nigeria and his dream for nigeria."

斯瓦希里语

david ajao anajadili ukurasa wa facebook wa rais wa naijeria: "kwa kupitia ukurasa wa facebook uliofunguliwa tarehe 28 juni 2010, amekuwa akieleza imani yake katika naijeria na ndoto yake ya naijeria."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

miquel discusses google's adwords in africa: "while it would be an excellent method for african bloggers to get a bit of money to cover their internet expenses, google doesn't offer payment options for any country in sub-saharan africa."

斯瓦希里语

miquel anajadili matangazo ya google adwords katika afrika: "wakati ingelikuwa ni njia nzuri sana kwa wanablogu wa kiafrika kupata pesa kidogo ili kulipia gharama za intaneti, google haitoi chaguo la malipo kwa nchi yoyote ya afrika kusini mwa jangwa la sahara."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
9,214,278,005 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認