您搜索了: educational (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

educational

斯瓦希里语

elimu

最后更新: 2012-07-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

educational psychology

斯瓦希里语

saikolojia ya elimu

最后更新: 2016-08-31
使用频率: 2
质量:

参考: 匿名

英语

special educational needs

斯瓦希里语

mahitaji maalum

最后更新: 2023-11-30
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

an educational proverb is a lamp

斯瓦希里语

methali ya elimu ni taa

最后更新: 2022-01-30
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

educational psychology guidance and counselling

斯瓦希里语

saikolojia ya elimu, ushauri nsa unasihi

最后更新: 2014-10-12
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

poem recited in alteration of educational kiswahili

斯瓦希里语

ngonjera za kiswahili kuhusu elimu

最后更新: 2016-05-08
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

pagodas and monks are part of cambodia's cultural and educational heritage.

斯瓦希里语

mapagoda na watawa ni sehemu muhimu ya urithi wa kiutamaduni na elimu ya wakambodia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

3 out of 10 of these girls have never been enrolled in any type of educational institution.

斯瓦希里语

wasichan 3 kati ya 10 hawajawahi kupata elimu ya aina yoyote katika taasisi zinazohusika na elimu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

reforms to the educational system were suspended in gabon after teachers and students marched together in protests.

斯瓦希里语

mageuzi ya mfumo wa elimu yaliahirishwa nchini gabon baada ya walimu na wanafunzi kuandamana pamoja kwa maandamano.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

is aimed at supporting a great cause; that is securing educational materials for children in deprived areas in ghana.

斯瓦希里语

lina lengo la kuunga mkono jambo kubwa; nia hilo ni kupata vifaa vya elimu kwa ajili ya watoto walio katika sehemu zenye umasikini nchini ghana.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

with relevant examples, explain six dysfunction of strategies provided by max weber's bureaucratic model in governing educational institution

斯瓦希里语

ukiwa na mifano inayofaa, fafanua kuharibika kwa mikakati sita iliyotolewa na modeli ya urasimu wa kiwango cha juu cha weber katika taasisi ya elimu

最后更新: 2021-06-14
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the personal website of sony ak was established in 2003 and it was awarded the best website in educational category for 2003, 2004 and 2006 by pc magazine indonesia.

斯瓦希里语

tovuti hiyo binafsi ya sony ak ilianzishwa mwaka 2003 na imekwisha zawadiwa kama tovuti bora zaidi ya kuelimisha kwa mwaka 2003, 2004 na 2006 na gazeti la pc la indonesia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

achille52 explains that the educational system is the first to suffer and that this budget cut will have dire consequences on the future of the nation (fr):

斯瓦希里语

achille52 anaeleza kwamba mfumo wa elimu ndiyo wa kwanza kuathiriwa na punguzo hilo la bajeti na kwamba jambo hili litakuwa na madhara makubwa sana kwa taifa kwa siku za usoni (fr):

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

early childhood educational programmes are usually designed for children below the age of 3 and may refer to preschools, nursery schools, kindergartens, and some day care programmes.

斯瓦希里语

masomo ya kiwango cha chekechea kwa kawaida huundwa kwa ajili ya watoto wenye umri wa chini ya miaka 3 yanaweza kurejelea masomo yote ya viwango vya chekechea na mipango fulani ya kutunza watoto nyakati za mchana.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

from providing refugees with access to information on health and educational opportunities to using facebook, gmail chat and skype to maintain connections with family members and friends across geographical divides, the issue provides a comprehensive overview of how icts are being used.

斯瓦希里语

kutoka kuwapa wakimbizi upatikanaji wa habari juu ya afya na fursa za elimu mpaka utumiaji wa facebook, maongezi kwa ktumia gmail na skype ili kudumisha mawasiliano na wanafamilia na marafiki kuvuka mipaka ya kijiografia, toleo hili limetoa picha kamili ya jinsi gani tknohama inavyotumika.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the wars and conflicts - national, regional and international – that have been using afghan land as their theater have made the development in social and educational fields suffocate to a large extent.

斯瓦希里语

vita na migogoro -ya kitaifa, ya kikanda na hata kimataifa- ambayo imekuwa ikiitumia ardhi ya afghanistani kama kiwanja cha vita imesababisha maendeleo kudorora kwa kiasi kikubwa katika nyaja za kijamii na za kielimu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

inequality could refer to healthcare inequality, economic inequality, global inequality, educational inequality, racial inequality, gender inequality, social inequality, and many more unequal constellations.

斯瓦希里语

kutokuwepo kwa usawa kunaweza kumaanisha kutokuwepo kwa usawa kwenye huduma za afya, ubaguzi wa rangi, jinsia, masuala ya kijamii, na dhana nyinginezo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

an interactive map of endangered languages, showing 2,500 out of 6,000 tongues at risk, has been released by the united nations educational, scientific and cultural organization (unesco).

斯瓦希里语

ramani shirikishi ya lugha zinazopotea, inayoonyesha lugha 2,500 kati ya 6,000 ambazo ziko hatarini, imezinduliwa na shirika la elimu, sayansi na utamaduni la umoja wa mataifa (unesco).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,799,514,662 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認