您搜索了: encouraged (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

encouraged

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

proper hand hygiene after any cough or sneeze is encouraged.

斯瓦希里语

usafi unaofaa wa mikono baada y a kukohoa au kupiga chafya unahimizwa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

corporations imposed employee travel restrictions, cancelled conferences, and encouraged employees to work from home.

斯瓦希里语

mashirika yaliweka vikwazo vya usafiri ya wafanyakazi, ikakatiza kongamano, na kuhimiza wafanyakazi kufanya kazi kutoka nyumbani.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

as elections get nearer, netizens are encouraged to post photos of the elections in the ge2011 media website.

斯瓦希里语

kadri uchaguzi unavyokaribia, raia wa kwenye mtandao wanaombwa watume picha picha za uchaguzi kwenye tovuti ya ge2011 media.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

family members, doctors, social organizations, and the media have encouraged the girl to terminate the pregnancy.

斯瓦希里语

wanafamilia, madaktari, mashirika ya kijamii, na vyombo vya habari vimemshawishi msichana huyu kuitoa mimba hiyo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

migrants would be more popular if minority leaders encouraged them to adopt more mainstream values and abide by the law, he said.

斯瓦希里语

wahamiaji wangepata umaarufu zaidi ikiwa viongozi wa walio wachache wangewahamasisha kufuata maadili yaw alio wengi na kutii sheria, alisema.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in rural peru, women are encouraged to spend their last weeks of pregnancy in special residential facilities that offer comfort and care.

斯瓦希里语

katika maeneo ya vijijini nchini peru, wanawake wanahamasishwa kutumia juma la mwisho wa ujauzito katika sehemu maalumu ambayo hutoa faraja na huduma.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

mobileactive, for example, is encouraged by the potential for mobile phones to allow refugees to not only remain in contact with loved ones, but to also more easily locate them.

斯瓦希里语

kwa mfano, mobileactive, inahamasishwa na uwezo wa simu za mkononi zinavyowawezesha wakimbizi siyo tu kuwasiliana na wapendwa wao, bali pia kuweza kujua mahali walipo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

netizens have also been reacting to an unprecedented move in zambian politics after the the president implored law enforcement agencies in the country to investigate his son and encouraged mr chifire to report any suspected unlawful activity linked to the first family to the relevant law enforcement agencies.

斯瓦希里语

watumia mtandao wamekuwa wakizungumzia hatua ambayo haikutegemewa katika siasa za zambia baada ya rais kuziomba mamlaka za kutekeleza sheria nchini humo kumchunguza mwanae na kumshauri bw. chifire aliyeibua tuhuma hizi kupeleka taarifa za kitendo chochote kinachohisiwa kuwa kinyume cha sheria na kinachohusianishwa na familia ya rais kwenda kwa mamlaka za kisheria zinazohusika.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the new law has triggered ridicule on china's most popular microblogging website sina weibo, with many quipping that the enforcement of the law is questionable and visiting parents should be a moral issue to be encouraged rather than a law that should be enforced.

斯瓦希里语

katika tovuti ya jukwaa maarufu la kublogu la nchini china, sina weibo, sheria hii mpya imeonekana kudhihakiwa ambapo wengi wanakejeli kwa kusema kuwa utekelezaji wa sheria hii una walakini kwani kuwatembelea wazazi lilipaswa kuwa jambo la kijamii lililohitaji uhamasishaji wa kawaida badala ya kushurutishwa kwa sheria.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

submit your story for the golden baobab award: "the golden boabab award was established in 2008 to encouraged writers in africa who specialize in books for children and young adults."

斯瓦希里语

wasilisha kisa chako upate fursa kushinda tuzo ya mbuyu wa dhahabu: "tuzo ya mbuyu wa dhahabu ilianzishwa mwaka 2008 kuwahamasisha waandishi wa ki-afarika waliojikita katika vitabu vya watoto na vijana."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

another comic report from são paulo, where teachers at a school illegally encouraged children to chant for two candidates, one for mayor and one for president, and it backfired with children instinctively chanting "lula!"

斯瓦希里语

taarifa nyingine ya kuchekesha inatoka sao paulo, ambako waalimu katika shule moja, kinyume cha sheria waliwahamasisha watoto waimbe kwa ajili ya wagombea wawili, mmoja kwa ajili ya kiti cha umeya na mwingine kwa ajili ya kiti cha urais, lakini kitendo hicho kiliwaridia bila mafanikio pale ambapo watoto walipoanza kuimba “lula!”

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,719,556,191 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認