来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
for ye are yet carnal: for whereas there is among you envying, and strife, and divisions, are ye not carnal, and walk as men?
maana bado mu watu wa kidunia. je, si kweli kwamba bado uko wivu na magombano kati yenu? mambo hayo yanaonyesha wazi kwamba ninyi bado ni watu wa kidunia, mnaishi mtindo wa kidunia.
envyings, murders, drunkenness, revellings, and such like: of the which i tell you before, as i have also told you in time past, that they which do such things shall not inherit the kingdom of god.
husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine kama hayo. nawaambieni tena kama nilivyokwisha sema: watu wanaotenda mambo hayo hawatakuwa na nafasi yao katika ufalme wa mungu.