您搜索了: generated (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

generated

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

following is the buzz the visit generated:

斯瓦希里语

ufuatao ni mvumo ambao ziara hiyo imeuanzisha:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the report has generated controversy among europeans.

斯瓦希里语

ripoti imezua utata kati ya wazungu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

as expected, the proposed marriage license with expiration date generated an intense reaction in the blogosphere.

斯瓦希里语

kama ilivyotarajiwa, muswada huo wa ndoa uliopendekezwa ambao una muda wa kuwa na nguvu kisheria umezua mijadala katika ulimwengu wa blogu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

an article on the website nation.co.ke of the main kenya newspaper generated many comments from netizens:

斯瓦希里语

makala katika tovuti ya nation.co.ke gazeti kuu la kenya iliibua maoni tofauti kutoka kwa raia wa mtandaoni.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the trial, the biggest social media event in south africa, generated huge global interest and intense media scrutiny.

斯瓦希里语

shauri hilo, ambalo ni tukio kubwa la mitandao ya kijamii nchini afrika kusini, lililoibua hisia kubwa pamoja na ufuatiliaji mkubwa wa vyombo vya habari.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

despite this, the communications team at eleitor 2010 has generated some media attention, and networking with other online transparency initiatives has been crucial.

斯瓦希里语

pamoja na hayo, timu ya mawasiliano ya eleitor 2010 imeweza kuvivutia vyombo vya habari, na ushirikiano na miradi mingine ya uwazi kwenye mtandao umekuwa ni wa muhimu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

on the popular platform jamii forums, photos showing mbilinyi resisting attempts by officers to remove him from the house floor generated considerable debate about the nature of politics in tanzania.

斯瓦希里语

katika jukwaa maarufujamii forums, picha zilimuonesha mbilinyi akikataa kuondolewa katika ukumbi wa bunge na maafisa usalama, uliibua mjadala wa kina kuhusiana na aina ya siasa ya tanzania.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a strong 8.2 earthquake hit northern chile at 20:46 and generated a tsunami that triggered the alarms across the country as this video shows:

斯瓦希里语

tetemeko kubwa lenye vipimo vya tetemeko 8.2 limeikumba chile kaskazini majira ya saa 2:46 usiku na kusababisha tsunami aliyosababisha wasiwasi nchini humo kama video ifuatayo inavyoonyesha:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the earthquake, which not only affected the mainland through the ground movements, also generated tsunami waves that set out an alarm throughout the pacific as different nations prepared for the waves to hit their shores.

斯瓦希里语

tetemeko hilo, ambalo halikuathiri maeneo ya bara pekee kwa njia ya kusogea sogea kwa ardhi, kadhalika lilisababisha mawimbi ya tsunami mabyo yalizua tahadhari katika eneo zima la pasifiki huku mataifa mbalimbali yakijiandaa kwa mawimbi hayo pindi yatakapofika kwenye fukwe zao.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

considering the debate generated by healthcare reform in the united states and the gradual withdrawal of the french state from public-funded social action, one might think that social protection is an endangered idea.

斯瓦希里语

kwa kuzingatia mjadala ulioanzishwa na marekebisho ya sera ya huduma za afya ya jamii nchini marekani na kujiondoa taratibu kwa nchi ya ufaransa kutoka kwenye mipango ya jamii inayoendeshwa kwa kodi za wananchi, mtu anaweza kudhani kwamba hifadhi ya jamii ni dhana inayoanza kupitwa na wakati.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the opposition is seemingly becoming more and more serious, and to ease the tension deriving from it we're initiating communication aiming the society, because our conviction is that the tension is mostly generated by actual politics.

斯瓦希里语

hali ya upinzani inazidi kuwa tete, na ili kupunguza mvutano unaotokana na hali hiyo, tunaanzisha mawasiliano yanayolenga jamii, kwa sababu tunaamini kwamba mvutano huo zaidi unachagizwa na siasa tu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

some have proposed that the virus may also be transmitted by small droplets that stay for more prolonged periods in the air, that may be generated during speech.respiratory droplets may also be produced during breathing out, including when talking, though the virus is not generally airborne.

斯瓦希里语

watu wengine wamependekeza kuwa virusi hivi pia huweza kusambazwa kwa matone madogo yanayosalia kwa muda mrefu hewani, yanayoweza kutoka wakati wa mazungumzo.matone ya kupumua pia huweza kutoka wakati wa kupumua, pamoja na wakati wa kuzungumza, lakini virusi hivi kwa ujumla haziambukizwi kupitia hewa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

houmani, a simple song with a strange title and a video clip that did not cost much, has generated big debates these recent weeks.the song has quickly blended into the popular culture generating several conversations and debates...the issue of working class neighborhoods vs rich neighborhoods, though not directly tackled in the song, is very present.

斯瓦希里语

houmani, wimbo wa kawaida lakini wenye jina la ajabu na kiapnde cha video ambacho hakikuchukua gharama kubwa kuandaliwa, kimezua mjadala mkubwa katika wiki za hivi karibuni. kwa haraka, wimbo huu umeshajikita katika utamaduni uliozoeleka kiasi cha kuzua majibizano na mijadala kadhaa.... suala la tabaka la wafanyakazi dhidi ya lile la watu matajiri, pamoja na kuwa halijazungumzwa sana katika wimbo huu, ni miongoni mwa mijadala inayoendelea kwa kiasi kikubwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,749,117,791 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認