您搜索了: headquarters (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

headquarters

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

in her post, wa7da masreya wrote describing the headquarters:

斯瓦希里语

kwenye makala yake, wa7da masreya aliandika akielezea makao makuu hayo:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

some protests are beginning to move towards the national security headquarters and the municipality building

斯瓦希里语

maandamano mengine yanaanza kuelekea makao makuu ya usalama wa taifa pamoja na jengo la baraza la mji (manispaa)

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it is expected that he has been transferred to the civil court headquarters at the military police in al qaboun area.

斯瓦希里语

inatarajiwa kwamba atakuwa amehamishiwa kwenye makao makuu ya mahakama ya kiraia kwenye eneo la jeshi la polisi huko al qaboun.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

hong kong police called the sit-in illegal and blocked roads and pathways leading to the government headquarters.

斯瓦希里语

polisi wa hong kong waliyatangaza maandamano hayo ya kukaa kuwa batili na walifunga barabara na njia zinazoelekea kwenye makao makuu ya serikali.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a banner in front of the headquarters reads "today's the day of her release".

斯瓦希里语

bango lililokuwa mbele ya makao makuu hayo lilisomeka " leo ni siku ya kuachiwa kwake ".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

according to asaad, usamah was taken to niss headquarters in khartoum north while he himself was taken to a police station in khartoum.

斯瓦希里语

kwa mujibu wa asaad, usamah alipelekwa kwenye jengo la makao makuu ya idara ya usalama wa taifa yaliyopo khartoum kaskazini wakati yeye mwenyewe alipelekwa kwenye kituo cha polisi mjini khartoum.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

four people were detained as protesters in downtown sofia clashed with police who tried to cut the rally heading for the headquarters of power utility company cez.

斯瓦希里语

watu wanne walishikiliwa pale waandamanaji katikati ya jiji la sofia walipokabiliana na polisi walipofurika jijini sofia kujaribu kuzuia waandamanaji waliokuwa wanaelekea makao makuu ya shirika la nishati la umma la cez.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

bandits even stormed the national headquarters of the police and the ministry of external relations (foreign affairs) in the capital city, yaounde.

斯瓦希里语

majambazi wameweza hata kuyavamia makao makuu ya taifa ya polisi na wizara ya mambo ya nje katika mji mkuu wa yaounde.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

after this march, venezuelans arranged a vigil in front of the oas (organization of american states) headquarters in the mexican capital on february 18th.

斯瓦希里语

baada ya maandamano haya, wavenezuela waliandaa mkesha mbele ya jengo la makao makuu ya umoja wa mataifa ya marekani (oas) jijini mexico tarehe 18 februari.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

@carlosmacas19: rafael correa "the headquarters of the iahcr has to be in a country that has ratified the pact of san jose" #posesiónpresidencial rt

斯瓦希里语

@carlosmacas19: rafael correa "makao makuu ya tume hiyo (iahcr) ni lazima yawe katika nchi inayoridhia makubaliano ya san jose" #posesiónpresidencial rt

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

a nigerian christian author, preacher, founder and presiding bishop of living faith church world wide also known as winners chapel and its affiliated international churches known as winners chapel international, with headquarters in ogun state, nigeria.

斯瓦希里语

(david oyedepo) ni mwandishi wa vitabu vya kikristo nchini naijeria, mhubiri, mwasisi na askofu mkazi wa kanisa liitwalo “living faith church world wide” (tafsiri isiyo rasmi: kanisa la imani hai ulimwenguni) linalojulikana pia kama winners chapel (kanisa la washindi) na lililoanzisha makanisa yaliyoenea duniani kote yajulikanayo kama winners chapel international, yenye makao yake makuu kwenye jimbo la ogun , nchini naijeria.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

@cchabikwa played on the name of the mdc headquarters, harvest house: @fingerray @sirnige @263chat @deltandou @cynicharare @rangamberi @conormwalsh @tvyangu came up with #harvestofthorns — cynz (@cchabikwa) april 30, 2014

斯瓦希里语

@cchabikwa alitumia jina na makao makuu ya mdc, yaitwayo harvest house [nyumba ya mavuno:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,746,749,965 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認