来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
amongst the participants is 84-year old holocaust survivor hedy epstien.
mmoja wa washiriki ni muhanga wa mauaji ya wayahudi yaliyofanywa na ma-nazi (holocaust) hedy epstein.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
michael abramowitz of the us holocaust memorial museum was in kigali for the ceremonies.
michael abramowitz anayetoka katika makumbusho ya kumbukumbu ya mauaji ya huko marekani naye alikuwepo kigali kwa ajili ya tukio hili.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
norman finkelstein, author of the holocaust industry and 'dreamer' of the march, was initially an active member of the coalition, but has since resigned.
norman finkelstein, mwandishi wa the holocaust industry na ‘aliyeyaota’ maandamano mwanzoni alikuwa mwanachama hai wa wa muungano huo, lakini amejiuzulu.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
this is what the holocaust should have ‘produced’ as an ‘industry’, an industry that does not allow a repetition of the past….
hiki ndicho mauaji ya wayahudi yangetengeneza kama nyanja, nyanja ambayo hairuhu kurudiwa tena kwa yaliyopita….
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
on 01 dec 2009, along with j’ann allen, the wife of a retired military officer and sandra mansour, a palestinian refugee, she issued a public invitation to political activist, nobel laureate and holocaust survivor elie wiesel to go to gaza with them. wiesel was urged to “break your silence and come with us”, during a speech at st.louis university:
mnamo desemba 1, 2009, pamoja na j’ann allen, mke wa ofisa wa jeshi mstaafu na sandra mansour, mkimbizi wa kipalestina, alitangaza hadharani mwalikowa kwenda gaza kwa mwanaharakati wa siasa, mshindi wa tuzo ya nobeli na muhanga wa mauaji ya halaiki ya wayahudi elie wiesel.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量: