您搜索了: interpret (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

interpret

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

people interpret and react to information differently.

斯瓦希里语

watu hutafsiri na kufanyia kazi habari wanazozipokea kwa namna tofauti.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

explain my dream, if you can interpret dreams.”

斯瓦希里语

enyi waheshimiwa! nambieni maana ya ndoto zangu, ikiwa nyinyi mnaweza kuagua ndoto.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

expound for me my vision, if ye can interpret dreams.

斯瓦希里语

nambieni maana ya ndoto zangu, ikiwa nyinyi mnaweza kuagua ndoto.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

wherefore let him that speaketh in an unknown tongue pray that he may interpret.

斯瓦希里语

kwa hiyo, mwenye kunena lugha ngeni na aombe apate uwezo wa kuzifafanua.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

explain to me my dream, if it be that you can interpret dreams."

斯瓦希里语

nambieni maana ya ndoto zangu, ikiwa nyinyi mnaweza kuagua ndoto.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

my counselors, tell me the meaning of my vision, if you can interpret visions'

斯瓦希里语

enyi waheshimiwa! nambieni maana ya ndoto zangu, ikiwa nyinyi mnaweza kuagua ndoto.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

o elders, explain to me my vision, if you are able to interpret visions.”

斯瓦希里语

enyi waheshimiwa! nambieni maana ya ndoto zangu, ikiwa nyinyi mnaweza kuagua ndoto.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

o courtiers, give me your opinion about my dream, if you can interpret dreams.’

斯瓦希里语

enyi waheshimiwa! nambieni maana ya ndoto zangu, ikiwa nyinyi mnaweza kuagua ndoto.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

"they were only confused dreams," they said; "we do not know how to interpret them."

斯瓦希里语

wakasema: hizi ni ndoto zilizo paraganyika, wala sisi sio wenye kujua tafsiri ya ndoto hizi.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

they asked joseph if he would interpret their dreams. they said, "we believe you to be a righteous person."

斯瓦希里语

hebu tuambie tafsiri yake, kwani sisi tunakuona wewe ni katika watu wema.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

if any man speak in an unknown tongue, let it be by two, or at the most by three, and that by course; and let one interpret.

斯瓦希里语

wakiwepo watu wenye vipaji vya kusema kwa lugha ngeni, waseme wawili au watatu, si zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

after all that time, the one of the two who had been saved remembered, he said: 'i will interpret it for you, so let me go'

斯瓦希里语

hapo akasema yule aliye okoka katika wale wawili akakumbuka baada ya muda: mimi nitakwambieni tafsiri yake. basi nitumeni.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

your lord will choose you and teach you to interpret events, and confer his favours on you and the house of jacob, as he had done in the case of two ancestors of yours, abraham and isaac, before you.

斯瓦希里语

na kadhaalika mola wako mlezi atakuteuwa na atakufundisha tafsiri ya mambo. na atatimiza neema zake juu yako na juu ya ukoo wa yaa'qub, kama alivyo watimizia hapo zamani baba zako ibrahim na is-haq.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

and the egyptian who purchased him said to his wife, “keep him honourably – we may derive some benefit due to him or we may adopt him as our son”; and this is how we established yusuf in the land, and that we might teach him how to interpret events; and allah is dominant upon his works, but most men do not know.

斯瓦希里语

na yule aliye mnunua huko misri alimwambia mkewe: mtengenezee makaazi ya hishima huyu; huenda akatufaa au tukamfanya mwenetu. na kama hivyo tulimweka yusuf katika nchi ili tumfundishe kufasiri mambo.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,781,014,846 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認