您搜索了: l lived in (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

l lived in

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

they had lived in luxury before this

斯瓦希里语

hakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

when we lived in uganda, they were my neighbors.

斯瓦希里语

wakati tulipokuwa tunaishi uganda, yalikuwa jirani zangu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in the which ye also walked some time, when ye lived in them.

斯瓦希里语

wakati mmoja ninyi pia mliishi kufuatana na mambo hayo, mlipotawaliwa nayo.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

they carved out dwellings in the mountains, and lived in security --

斯瓦希里语

nao walikuwa wakichonga majumba katika milima kwa amani.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

i also lived in england for almost 15 years (on and off).

斯瓦希里语

vile vile nimeishi uingereza kwa takribani miaka kumi na mitano (nikiondoka na kurudi).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

read the caption, and a story emerges of a person who lived in the city.

斯瓦希里语

soma maelezo ya picha, na habari inatokea ya mtu aliyewahi kuishi katika mji.

最后更新: 2024-04-14
使用频率: 1
质量:

英语

how long have you lived in mauritania and what took you there in the first place?

斯瓦希里语

umeishi mauritania tangu lini na kitu gani kilikupeleka huko kwa mara ya kwanza?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

but for him who lived in awe of the sublimity of his lord, there will be two gardens --

斯瓦希里语

na mwenye kuogopa kusimamishwa mbele ya mola wake mlezi atapata bustani mbili.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

lauren, an american who formerly lived in kampala, remembers taking friends to visit the tombs:

斯瓦希里语

lauren, mmarekani ambaye aliwahi kuishi kampala, anakumbuka jinsi aliwapeleka wageni kutembelea makaburi hayo:

最后更新: 2023-11-07
使用频率: 1
质量:

英语

remember how the whole world you lived in, which you believed was real, was in fact completely made up?

斯瓦希里语

unakumbuka jinsi katika dunia yote unamoishi, ambayo uliamini ni ya kweli, ilikuwa katika ukweli halisi, ni ya kutengenezwa?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

on the day when they see it, it will seem to them as though they had only lived in the world for a morning and an afternoon.

斯瓦希里语

ni kama kwamba wao siku watapo iona (hiyo saa) hawakukaa ila jioni moja tu, au mchana wake.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

they lived in dar es salaam but were in nairobi to have their baby there because they preferred the city's medical care.

斯瓦希里语

waliishi dar es salaam lakini walikuwa nairobi kwa ajili ya kujifungua kwa sababu ya kuziamini zaidi huduma za afya jijini humo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

ye have lived in pleasure on the earth, and been wanton; ye have nourished your hearts, as in a day of slaughter.

斯瓦希里语

mmeishi duniani maisha ya kujifurahisha na ya anasa. mmejinenepesha tayari kwa siku ya kuchinjwa.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

英语

you lived in the dwellings of those who wronged themselves, and it was clear to you how we dealt with them, and how we struck parables for you.

斯瓦希里语

na mkakaa katika maskani zile zile za walio zidhulumu nafsi zao. na ikakudhihirikieni jinsi tulivyo watendea.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

after pointing out a few things that tanzania could do better, david mugo who lived in tanzania for 18 months, finishes his post by saying:

斯瓦希里语

baada ya kubainisha mambo machache ambayo tanzania ingeweza kufanya vizuri zaidi, david mugo aliyeishi tanzania kwa miezi 18, alimalizia makala yake kwa kusema:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in a similar way, when i lived in rosslyn, under the flight path of the planes approaching national airport, the noisy planes bothered me for about a week.

斯瓦希里语

na kwa njia sawa na hiyo, wakati nilipoishi rosslyn, chini ya njia za ndege zilizokuwa zikiwasili kwenye uwanja wa ndege wa taifa, kelele za ndege nilinibugushi kwa kiasi cha wiki tu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

they will say: “when we were living before among our kinsfolk we lived in constant fear (of allah's displeasure).

斯瓦希里语

waseme: tulikuwa zamani pamoja na ahali zetu tukiogopa;

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

the forest has been preserved for generations, thanks to the work of people who have lived in harmony with the world around them, by means of ancestral knowledge of resource management and active participation of each community.

斯瓦希里语

misitu imekuwa ikihifadhiwa kwa ajili ya vizazi, shukrani kwa juhudi za watu walioishi kwa amani na ulimwengu uwazungukao, hali iliyochangiwa na maarifa ya mababu zao ya umilikaji wa rasilimali pamoja na ushiriki hai wa kila jamii.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it was this curiosity of knowing more about the people that lived in the middle of these vast empty spaces that made me come back in january 2004, and in september 2004 i moved to nouakchott and i'm still here.

斯瓦希里语

ilikuwa ni uchunguzi huu wa kufahamu zaidi kuhusu watu walioishi katikati ya maeneo haya matupu ndio ulionifanya nirudi mwezi januari 2004, na septemba 2004 nilihamia nouakchott na bado ninaishi hapa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

we know well what they will say to one another: we also know that even the most cautious in his estimate will say: "you lived in the world no more than a day."

斯瓦希里语

sisi tunajua zaidi watakayo yasema, atakapo sema mbora wao katika mwendo: nyinyi hamkukaa ila siku moja tu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,794,253,040 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認