来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
some have labeled the move as hype.
wengine wameeleza hatua hiyo kama kanya boya.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
one of these cartoons shows a huge hammer labeled gaza hitting the kargozaran journal.
moja ya michoro hiyo inaonyesha nyundo kubwa yenye chapa ya gaza ikilipiga jarida la kargorazan.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
the american ambassador just sent me an email labeled "unclassified" .. #cablegate #wikileaks
the balozi wa marekani amenitumia barua pepe yenye kichwa “nyaraka isiyo ya siri..#cablegate #wikileaks
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
being labeled as an atheist is a distraction even among fellow protesters, so the atheists are becoming an easy target for the jamaat-shibir-hijbut tahrir.
mtu anapoitwa asiye muamini mungu, ni jambo linalohamisha hata fikra za miongoni mwa waandamanaji wenza, kwa hiyo, wale wasiomwamini mungu wanakuwa chambo rahisi sana kwa jamaat-shibir-hijbut tahrir.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
naschla aburman, president of feuc, labeled these disturbances as "isolated incidents" and stated that there are things that are outside of the responsibility of the organizers.
naschla aburman, rais wa feuc, aliviita vitendo hivyo vya usumbufu kama "matukio machache" na kusema kwamba vitendo hivyo havikuwa wajibu wa waandaaji.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
a number of residents who spread the word of contamination back then were labeled as "rumour-mongers" and "dealt with" according to law.
raia kadhaa waliokuwa wakitoa taarifa za maji kuchanganyikana na kemikali hatari kwa kipindi hicho walijulikana kama "wavujisha tetesi" na "kushughulikiwa" kwa mujibu wa sheria.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
it was then the promise of a new tomorrow; it was then a romantic walk towards the faint vision labeled as the 'enlightened moderation' and definitely a step towards the ridding society of a plague called corruption.
wakati huo kulikuwa na matumaini ya kesho mpya, ilikuwa ni mwendo wa madaha kuelekea kwenye dira iliyofifia iliyopachikwa jina la ‘mwamko wa wastani wenye kuongozwa na fikra pevu’ na ama kwa hakika hatua muhimu katika kuiondolea jamii gonjwa lililogeuka kuwa janga, yaani, rushwa.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量: