您搜索了: leaving pods susceptible to suncald (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

leaving pods susceptible to suncald

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

it is possible that many mammals including domestic animals are susceptible to sars-cov-2.

斯瓦希里语

kuna uwezekano kwamba mamalia wengi ikiwa ni pamoja na wanyama wa nyumbani wanaweza kupata sars-cov-2.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

the entire human population generally lacks immunity to sars-cov-2 and hence is susceptible to the novel virus.

斯瓦希里语

binadamu wote kwa ujumla hawana kinga mwilini dhidi ya sars-cov-2 na hivyo wamo hatarini kupata virusi hivi vipya.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

"i do not think that i am free from weakness; all human souls are susceptible to evil except for those to whom my lord has granted mercy.

斯瓦希里语

nami sijitoi lawamani. kwa hakika nafsi ni mno kuamrisha maovu, isipo kuwa ile ambayo mola wangu mlezi aliyo irehemu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

sites situated near the borders are, in general, more susceptible to being targeted by looters who take advantage of their location to quickly and illegally export artefacts out of syria.

斯瓦希里语

maeneo hayo yaliyo karibu na mipaka, kwa ujumla, yamekuwa yakilengwa na wahalifu hao wanaotumia fursa ya kuwa karibu na maeneo hayo kuisafirisha utajiri huo nje ya nchi kwa urahisi kwa kutumia njia haramu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

finally, since many mammals including domestic animals might be susceptible to sars-cov-2, both surveillance and experimental infection should be conducted.

斯瓦希里语

hatimaye, kwa kuwa wanyama wengine ikiwa ni pamoja na wanyama wa nyumbani wanaweza kuwa katika hatari ya kupata sars-cov-2, maambukizi ya kiuchunguzi na kimajaribio yanapaswa kuendeshwa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

at a time when expensive legislative time should be judiciously expended on the issues that really matter to the people of the country; when ugandan lawmakers and the ugandan government should be concerned about the welfare of vulnerable ugandans, (including those same-gender loving men and women in their society, who are susceptible to wanton physical abuse and discrimination); when the ugandan authorities should be looking to protect those of the country's citizens whose welfare is their responsibility; when the challenges that face our continent in this 21st century are enormous; what we hear of instead is an anti-homosexuality bill being introduced to parliament.

斯瓦希里语

wakati ambapo muda wa gharama za bunge ulitakiwa kutumika kisheria katika mambo ambayo yana tija kwa maisha ya watu wa nchi hii; wakati watunga sheria wa uganda na serikali ya uganda ilitakiwa kuguswa na ustawi wa waganda wanaoteseka, (ikijumisha watu wale wanaowapenda watu wa jinsia yao katika jamii yao, ambao wanahatarishwa kwa matumizi ya nguzu na unyanyapaa); wakati ambapo mamlaka za uganda zilitakiwa kuangalia namna ya kulinda wale wananchi wa vijijini ambao ustawi wao ni jukumu lao; wakati ambapo changamoto zinazolikabili bara letu katika karne hii ya 21 zinatisha; tunachokisikia badala yake ni muswada wa kupinga ushoga ukiletwa bungeni.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,781,627,829 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認