您搜索了: panic (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

panic

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

fear, panic

斯瓦希里语

mchecheto

最后更新: 2016-07-10
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

i felt panic.

斯瓦希里语

nikapatwa na kihoro.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

then, when panic is over, they whip you with sharp tongues.

斯瓦希里语

na khofu ikiondoka wanakuudhini kwa ndimi kali, nao ni mabakhili kwa kila la kheri.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

there is lots and lots of speculation right now - and panic.

斯瓦希里语

kuna makisio mengi na ubashiri hivi sasa - na hofu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

there were five grenades in total and none detonated, but they provoked panic .

斯瓦希里语

kwa ujumla kulikuwa na mabomu ya kutupa kwa mkono matano ambayo hayakulipuka lakini yalileta mtafaruku kwa wanafunzi hao. .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

when the floods occurred, there was panic in the land... i was not moved.

斯瓦希里语

wakati mafuriko yalipotokea, kulikuwa na taharuki katika nchi ... mimi sikubabaika kabisa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

he writes that passengers started providing the first aid to each other heroically and without panic.

斯瓦希里语

anaandika kuwa abiria walianza kupeana huduma ya kwanza kwa ushujaa bila kuogopa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

a white cloud swept across the parking lot and you could see zombies whitened by dust appearing, in complete panic.

斯瓦希里语

wingu jeupe liligubika eneo lote la maegesho na mtu ungeweza kuona mazimwi meupe yakiibuka kutoka kwenye vumbi, kila mmoja akiwa katika mhamaniko mkubwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

and he brought those of the people of the scripture who supported them down from their strongholds, and cast panic into their hearts.

斯瓦希里语

na akawateremsha wale walio wasaidia (maadui) katika watu wa kitabu kutoka katika ngome zao; na akatia khofu katika nyoyo zao.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

i think the recent release of celebrated political prisoner ayman nour should be considered as evidence of the panic roiling the upper echelons of this dictatorship.

斯瓦希里语

nafikiri kuachiwa kwa mfungwa wa kisiasa ayman nour hivi karibuni kunaweza kuwa ni ushahidi wa mchechetu unaozikumba ngazi za juu za utawala huu wa kiimla.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the emergence of the chadian army in support of the cameroonian and nigerian military appears to be decisive, given the panic moves that has seemingly gripped boko haram.

斯瓦希里语

kujitokeza kwa jeshi la chadi uunganisha nguvu na majeshi ya camerron na naijeria kuonekana kuwa na maamuzi sasa, imeleta hali ya tahayaruki kwa kikundi hicho cha kigaidi cha boko haram.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

several localities also witnessed panic buying that led to shelves being cleared of grocery essentials such as food, toilet paper, and bottled water, inducing supply shortages.

斯瓦希里语

maeneo mengi pia yalishuhudia watu kununua kwa hofu jambo lililosababisha maduka kukosa bidhaa muhimu za kama vile vyakula, karatasi shashi na maji ya chupa na kuibua upungufu wa usambazaji wa bidhaa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

@kevin2tek: #nairobiblast now trending globally.please watch what you tweet,dont spread panic or pander lies!

斯瓦希里语

@kevin2tek: alama inayotumika kujadili tukio la mlipuko huo, #nairobiblast, sasa inatawala gumzo la mtandao wa twita duniani kote.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the coronavirus outbreak has been blamed for several instances of supply shortages, stemming from globally increased usage of equipment to fight the outbreaks, panic buying, and disruption to factory and logistic operations.

斯瓦希里语

mkurupuko wa virusi vya korona imelaumiwa kwa matukio kadhaa ya kukosekana kwa bidhaa,

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

meanwhile, social networks, the media, and even public personas find themselves threatened by authorities for "inciting panic" at a time when access to more quality information is sorely needed.

斯瓦希里语

wakati huo huo, mitandao ya kijamii, vyombo vya habari, na hata watu maarufu wanajikuta wanatishwa na mamlaka kwa "kusababisha tahayaruki" wakati ambao upatikanaji wa habari sahihi ndio unaohitajika.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

英语

"sarawak river showed yesterday its might when it burst it banks and water spilled into kuching waterfront.and the floods descrides by kuchingites as the worst flood in 20 years, caused massive trafic jam, halted business and caused panic among some who anticipated that worst was yet to come.

斯瓦希里语

"mto sarawak jana ulionyesha nguvu zake wakati ulipopasua kingo zake na kumiminikia kwenye ufukwe wa kuching. na wakazi wa kuching wanaeleza kwamba mafuriko haya ni mabaya zaidi katika miaka 20, yalizua foleni kubwa za magari, yalisitisha biashara na kuwajaza hofu wale waliotegemea kwamba maafa zaidi yangelitokea.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,800,220,541 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認