您搜索了: preference (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

preference

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

god must be given preference over them.

斯瓦希里语

akiwa tajiri au masikini mwenyezi mungu anawastahikia zaidi.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

has he chosen daughters in preference to sons?

斯瓦希里语

ati amekhiari watoto wa kike kuliko wanaume?

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

we gave some of our messengers preference over others.

斯瓦希里语

mitume hao tumewatukuza baadhi yao juu ya wengineo.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

in preference to women you satisfy your lust with men.

斯瓦希里语

hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio mkwawacha wanawake?

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

do not take the unbelievers as your allies in preference to the believers.

斯瓦希里语

msiwafanye makafiri kuwa ndio marafiki badala ya waumini.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

there is no preference towards a particular season in tropical climates.

斯瓦希里语

hakuna upendeleo wa msimu fulani katika hali ya hewa ya kitropiki.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

do not covet what god has given to some of you in preference to others.

斯瓦希里语

wala msitamani alicho wafadhili mwenyezi mungu baadhi yenu kuliko wengine.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

the believers must not establish friendship with the unbelievers in preference to the faithful.

斯瓦希里语

waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya waumini.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

we have given preference to some prophets over others and we gave the psalms to david.

斯瓦希里语

na mola wako mlezi anawajua vilivyo waliomo mbinguni na katika ardhi. na hakika tumewafadhilisha baadhi ya manabii kuliko wengine; na daudi tulimpa zaburi.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

do not give total preference to one of them, leaving the other as if in suspense.

斯瓦希里语

kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

children of israel, recall my favors to you and the preference that i gave to you over all nations.

斯瓦希里语

enyi wana wa israili! kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

this is because they have given preference to this life over the life to come and god does not guide disbelieving people.

斯瓦希里语

hayo ni kwa sababu wameyapenda zaidi maisha ya duniani kuliko ya akhera, na kwa sababu mwenyezi mungu hawaongoi watu makafiri.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

believers, do not take your fathers and your brothers for allies if they choose denial of truth in preference to faith.

斯瓦希里语

enyi mlio amini! msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko imani.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

do not take deniers of the truth [who are at war with you] for your allies in preference to believers.

斯瓦希里语

enyi mlio amini! msiwafanye makafiri kuwa ndio marafiki badala ya waumini.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

he said: "o my people! why ask ye to hasten on the evil in preference to the good?

斯瓦希里语

akasema: enyi watu wangu! kwa nini mnauhimiza uwovu kabla ya wema?

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

it is they who have given preference to the worldly life over the life to come. they create obstacles in the way that leads to god and try to make it seem crooked.

斯瓦希里语

wale wanao fadhilisha maisha ya dunia kuliko akhera, na wanawazuilia watu wasifuate njia ya mwenyezi mungu, na wanataka kuipotosha.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

(pagans) has your lord given you preference over himself by granting you sons and taking the angels as his own daughters?

斯瓦希里语

je! mola wenu mlezi amekuteulieni wavulana, na yeye akawafanya malaika ni banati zake?

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

"for ye practise your lusts on men in preference to women: ye are indeed a people transgressing beyond bounds."

斯瓦希里语

hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio mkwawacha wanawake? kumbe nyinyi ni watu wafujaji!

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

see how we prefer one above another (in this world) and verily, the hereafter will be greater in degrees and greater in preference.

斯瓦希里语

angalia vipi tulivyo wafadhili baadhi yao kuliko wenginewe. na hakika akhera ni yenye daraja kubwa zaidi na fadhila kubwa zaidi.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

aside from v-necks, the guidelines warned that “a preference for tight and bright coloured clothes” is an indicator of homosexuality.

斯瓦希里语

ukiacha nguo zenye shingo ya v, mwongozo wa mavazi umetahadharisha kuwa 'kupenda kuvaa mavazi yaliyobana na yenye rangi zinazong'aa sana' ni ishara ya ushoga.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,747,322,102 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認