您搜索了: promotion (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

promotion

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

your promotion has been successfully deleted.

斯瓦希里语

ukwezaji wako umefaulu kufutwa.

最后更新: 2021-09-02
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

promotion of general sisi is a sign of imminent resignation.

斯瓦希里语

kupandishwa cheo kwa sisi ni ishara ya karibu sana ya kuachia madaraka.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

say, "promotion of their welfare is an act of great goodness.

斯瓦希里语

sema: kuwatengenezea ndio kheri.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

英语

it seems that the presidential bid isn't the only reason for this promotion.

斯瓦希里语

inaonekana kuwa kugombea urais siyo sababu pekee ya kupandishwa cheo hiki.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

in addition, the promotion of homosexual behavior undermines our traditional family values.

斯瓦希里语

na zaidi ya hayo, kutetea tabia za kishoga kunaharibu maadili yetu ya asili ya kifamilia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

for the promotion, adoption and ratification of the united nations convention on disabled people.

斯瓦希里语

kwa kutangazwa, kupitishwa na kuridhiwa kwa mkataba wa umoja wa mataifa kuhusu haki za walemavu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

some suggest that this promotion is a fast-track to sissi's presidential bid.

斯瓦希里语

baadhi ya watu wanaona kuwa, kupandishwa cheo huku ni namna ya ya haraka ya sissi kuelekea kugombea urais.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the ministry has been strict in its promotion and monitoring of authentic thai culture in old and new media sites.

斯瓦希里语

wizara hiyo imekuwa ikidhibiti sana uhamasishaji na usimamizi wa utamaduni wa asili wa ki-thai katika tovuti za vyombo vya habari vya kizamani na hata vile vya kisasa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

in addition the promotion of voodoo medicine and demonisation of western science is now deeply embedded in the national psyche.

斯瓦希里语

zaidi ya hilo, kuna uhamasishaji wa matumizi ya dawa na upungaji pepo wa kivuduu, vilevile uhusianishaji wa kishetani na sayansi ya magharibi vyote vikiwa vimejikita sawasawa katika mfumo wa kufikiri wa taifa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

your position as the international authority entrusted with the responsibility for the protection and promotion of universal human rights accords you a special role.

斯瓦希里语

kwa nafasi yako kama mamlaka ya kimataifa iliyoaminiwa na wajibu wa kulinda na kuhamasisha mikataba ya ulimwengu ya haki za binadamu zinakupa dhima ya pekee.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

building hand washing stations can be a part of hand washing promotion campaigns that are carried out in order to reduce diseases and child mortality.

斯瓦希里语

kujenga vituo vya kuosha mikono kunaweza kuwa sehemu ya kampeni za kukuza kuosha mikono zinazoendelezwa ili kupunguza magonjwa na vifo vya watoto.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the promotion has created a buzz online, with many wondering whether it paves the way for sissi to run for presidency in elections penciled in for the end of april.

斯瓦希里语

upandishwaji cheo huu umezua mjadala mkubwa katika mitandao ya intaneti ambapo watu wengi wanajiuliza kama ndio njia ya sissi kugombea urais unaotarijiwa kufanyika mwisho wa mwezi aprili.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

believers, when you confer together in private, do not confer in support of sin and transgression and disobedience to the messenger, but confer for the promotion of virtue and righteousness.

斯瓦希里语

mnapo nong'ona msinong'one kwa sababu ya mambo ya madhambi, na uadui, na kumuasi mtume. bali nong'onezane kwa kutenda mema na kuacha maovu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

in a statement issued yesterday, foreign affairs minister sam kutesa said the government does not support the promotion of homosexuality “just like we cannot promote prostitution.”

斯瓦希里语

katika tamko lililotolewa jana, waziri wa mambo ya nje sam kutesa alisema serikali haiungi mkono utetezi wa ushoga “sawa tu na vile tusivyoweza kutetea biashara ya ngono.”

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

as users continue to share the ukrainian band's video masterpiece on the web, some are jokingly speculating the video might secretly be an apple promotion, since the devices play such a prominent part.

斯瓦希里语

wakati watumiaji wa youtube wakiendelea kusambaza video hii ya bendi kutoka ukraine iliyoandaliwa kwa ustadi mkubwa, baadhi ya watu wanahisi kuwa, yawezekana video video hii imeandaliwa kwa siri kama namna ya kutangaza bidhaa za apple kufuatia vifaa hivi vya apple kutumika katika kazi hii iliyotukuka.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the most recent recognition was granted by the inba in the "mexico lee 2011″ contest, which awards the promotion of reading, for the book club he created inside the jail.

斯瓦希里语

tuzo ya hivi karibuni aliyotunukiwa ilikuwa ni ile ya inba katika shindano la "mexico lee 2011″, inayohamasisha watu kusoma, hii inatokana na yeye kuanzisha klabu ya wasoma vitabu huko gerezani.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

英语

@bagadood: 10th royal decree: a step to promote all military & police officers who deserve a promotion #sakingspeech #saudimataleb

斯瓦希里语

@bagadood: 1tamko la 10 la kifalme: hatua ya kuwapandisha vyeo askari jeshi & polisi wote wanaostahili kufanyiwa hivyo #sakingspeech #saudimataleb

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

英语

(e) to withdraw from any international agreements to which uganda already is a party, or file reservations to them, which are re-interpreted to include protection for homosexual behavior, or that promote same-sex marriage, or that call for the promotion or teaching about homosexuality as being healthy, normal, or an acceptable lifestyle choice, or that seek to establish sexual behavior, sexual orientation, or gender identity, or sexual minorities as legally protected categories of people; and (f) to prohibit uganda from becoming a party to any new international instruments that expressly include protection for homosexual behavior; promote same-sex marriage; call for the promotion or teaching about homosexuality or homosexual relations as being healthy, normal, or an acceptable lifestyle choice; and/or seek to establish sexual behavior, sexual orientation, gender identity or sexual minorities as legally protected categories of people

斯瓦希里语

(e) kujitoa kwenye makubaliano yoyote ya kimataifa ambayo uganda tayari ni mwanachama, au kuweka masharti ya kujihadhari, ambayo yanatafsiriwa upya ili kujumuisha kulindwa kwa tabia za kishoga, au kutetea ndoa za jinsia moja, au kutoa wito wa kutangaza au kufundisha kuhusu ushoga kama tabia yenye afya, ya kawaida au uchaguzi unaokubalika wa utaratibu wa maisha, au kutafuta kuanzishwa kwa tabia za kingono, mtazamo wa kingono, au utambilsho wa kijinsia au makundi madogo ya kijinsia kama makundi ya watu yanayolindwa kisheria; na (f) kuizuia uganda kuwa mwanachama wa chombo chochote cha kimataifa ambacho kinatamka wazi ujumuishaji na kulindwa kwa tabia za kishoga; kushabikia ndoa za jinsia moja; kutoa wito wa kushabikia na kufundisha kuhusu ushoga na mahusiano ya jinsia moja kama yenye kumaanisha afya njema, kawaida, ama uchaguzi wa namna ya maisha unaokubalika; na/au kutafuata kuanzisha tabia za kingono, mtazamo wa kingono, utambulisho wa kijinsia au makundi madogo ya kijinsia kama makundi ya watu yanayolindwa kwa nguvu ya sheria.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,747,150,195 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認