您搜索了: regulation (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

regulation

斯瓦希里语

kanuni

最后更新: 2012-08-15
使用频率: 1
质量:

英语

they are now testing the limits of online regulation.

斯瓦希里语

hivi sasa wanaijaribu mipaka ya udhibiti wa kwenye mtandao.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

south korea: birth control regulation changes provoke debate · global voices

斯瓦希里语

korea ya kusini: mabadiliko ya sheria kuhusu uzazi wa mpango yaibua mjadala mkali

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it is a key part of regulation 12 about safe care and treatment, periodically inspected by the care quality commission.

斯瓦希里语

ni sehemu muhimu ya kanuni ya 12 kuhusu tiba salama na matibabu, ikikaguliwa muda baada ya muda na tume ya ubora wa tiba.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

there is strict media regulation in the country, especially when it comes to discussions of politics and human rights.

斯瓦希里语

nchini ethiopia, kuna sheria kali dhidi ya uanahabari, hususani pale linapokuja suala la kujadili kuhusu siasa na haki za binadamu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the republic of macedonia has issued a new regulation banning the use of drones up to 500 meters from government buildings, public gatherings and protests.

斯瓦希里语

jamhuri ya masedonia imetunga kanuni mpya kuzuia matumizi ya kamera za anga kwa umbali wa mita 500 kutoka kwenye majengo ya serikali, mikusanyiko ya watu na maandamano.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

say, "they are a means of determining time for the regulation of people's affairs and for the pilgrimage."

斯瓦希里语

sema: hiyo ni vipimo vya nyakati kwa ajili ya watu na hija.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

according to the signers, each regulation refered to telecommunications and broadcastiong approved by mexican congress should comply constitutional regulations and international rules about human rights signed by mexico.

斯瓦希里语

kwa mujibu wa waliotia sahihi, kila kanuni inakusudia kulazimisha kanuni za mawasiliano ya simu na utangazaji zilizopitishwa na kongamano la mexico kuzingatia kanuni za kikatiba na sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu iliyotiwa saini na mexico.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the draft regulation is not yet final but it is expected that the government will seriously pursue this measure especially after it recently became almost helpless in stopping the cell phone and internet uploading of an illegally taped video of nude ladies bathing in a monastery.

斯瓦希里语

rasimu ya sheria hiyo bado haijakamilika lakini inategemewa kuwa serikali itafuatilia hatua hii kwa makini hasa baada ya kukaribia kushindwa kuzuia upakiaji holela kwenye simu za viganjani na kwenye intaneti wa wa picha za uchi za wanawake waliokuwa wakioga hekaluni zilizopigwa kinyume cha sheria .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

but politically-driven internet regulation often encounters strong opposition from internet users and it always elicits condemnation around the world, especially from media groups and human rights organizations.

斯瓦希里语

lakini uratibu wa mtandao unaosukumwa na siasa mara nyingi huwa unakumabana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa watumiaji wa mtandao na mara nyingi huamsha lawama nyigi sana kote ulimwenguni, hasa kutoka kwa vyombo vya habari na mashirika ya haki za binadamu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

due to ambiguities in the new regulation and lack of coordination between government agencies in implementing the new law, payment of fees for part-time and freelance work for certain categories of workers were blocked in the last days of january.

斯瓦希里语

kutokana na sintofahamu iliyopo katika sheria hii mpya na kukosekana kwa mawasiliano mazuri miongoni mwa vyombo husika vya serikali katika kutekeleza sheria hii, malipo ya ada ya kufanya kazi isiyo ya mkataba wa kudumu pamoja na baadhi ya wafanyakazi walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa katika tarehe za mwisho za mwezi januari.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

rules and regulations

斯瓦希里语

sheria na kanuni

最后更新: 2023-03-08
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
8,028,919,006 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認