您搜索了: removing (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

removing

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

removing children during times of disaster is not new.

斯瓦希里语

kuwahamisha watoto wakati wa majanga si jambo jipya.

最后更新: 2024-03-20
使用频率: 1
质量:

英语

we are removing the punishment a little, but you revert.

斯瓦希里语

hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile!

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

'ah, but did you not swear aforetime there should be no removing for you?

斯瓦希里语

kwani nyinyi si mliapa zamani kwamba hamtaondokewa?

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

'behold, we are removing the chastisement a little; behold, you revert!'

斯瓦希里语

hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile!

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

and we delivered him as well as lut (removing them) to the land which we had blessed for all people.

斯瓦希里语

na tukamwokoa yeye na luut'i tukawapeleka kwenye nchi tulio ibariki kwa ajili ya walimwengu wote.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

however, warm, soapy water is more effective than cold, soapy water at removing natural oils which hold soils and bacteria.

斯瓦希里语

hata hivyo, maji moto, yenye sabuni hufaa zaidi kuliko maji baridi yenye sabunu katika kuondoa mafuta asilia ambayo hushikilia mchanga na bakteria.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

while the angels are removing the souls of those who have wronged themselves, they will say, “what was the matter with you?”

斯瓦希里语

hakika malaika watawaambia wale ambao wamewafisha nao wamejidhulumu nafsi zao: mlikuwa vipi?

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

the proposed google/apple plan intends to address the problem of persistent surveillance by removing the tracing mechanism from their device operating systems once it is no longer needed.

斯瓦希里语

mpango uliopendekezwa wa google/apple unakusudia kushughukia tatizo la uchunguzi wa kuendelea kwa kuondoa utaratibu wa ufutaji kutoka kwa mfumo wa uendeshaji wa kifaa chao baada kukosa kuhitajika tena.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

since police began removing barricades set up by protesters at the sites of the massive sit-in dubbed occupy central, confrontations between protesters and police officers have happened almost every day.

斯瓦希里语

tangu polisi waanze kuondoa vizuizi vilivyowekwa na waandamanaji kwenye maeneo yaliyopewa jina la maandamano ya kukaa katikati ya mji, mapigano kati ya waandamanaji na maafisa wa polisi yametokea kila siku.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

upon removing the lungs from the inverted and dangling sheep's chest cavity, the friendly man spattered in blood held them up by the still-attached esophagus for all to see.

斯瓦希里语

wakati wa kuondoa mapafu kutoka kwenye kifua cha kondoo aliyening’inizwa kichwa chini miguu juu, jamaa mtaratibu aliyekuwa amechafuka damu akiwa ameyashikilia kwa sehemu ya koromeo iliyokuwa imebaki kiasi cha kuonekana na wote.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

integration of this functionality directly into ios and androidgoogle and apple plan to address the take-up and persistent surveillance problems by first distributing the system through operating system updates, and later removing it in the same way once the threat has passed.

斯瓦希里语

muunganisho wa utendakazi huu moja kwa moja katika ios na androidgoogle na mpango wa apple wa kushughulikia matatizo ya uchunguzi unaoendelea kwa kusambaza kwanza mfumo kupitia visasisho vya mfumo wa uendeshaji, na baadaye kuiondoa kwa njia sawia baada ya tishio kuisha.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

and if you see the angels when they are removing the souls of the disbelievers, hitting them on their faces and their backs; “taste more of the punishment of the fire!” (punishment in the grave is proven by this verse.)

斯瓦希里语

na laiti ungeli ona malaika wanapo wafisha wale walio kufuru wakiwapiga nyuso zao na migongo yao, na kuwaambia: ionjeni adhabu ya moto!

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,794,842,954 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認