来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
lower respiratory tract infection (lrti)
maambukizi ya njia ya chini ya pumu (lrti)
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
the test can be done on respiratory or blood samples.
jaribio linaweza kufanywa kwa sampuli za kupumua au za damu.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
most of these have involved serious respiratory tract infections.
virusi vingi vimehusisha maambukizo kali ya ya mfumo wa kupumua.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
complications may include pneumonia and acute respiratory distress syndrome.
matatizo yanaweza kuwa ni pamoja na mchochota wa pafu na ugonjwa sugu wa mapafu yaliyofungana.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
the virus is transmitted through respiratory droplets and through objects.
virusi hivi vinaambukizwa kupitia vijitone vya mfumo wa kupumua na kupitia vitu.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
the lung picture resembled acute respiratory distress syndrome (ards).
picha ya mapafu inafanana na ugonjwa mkali wa matatizo ya kupumua (ards).
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
only a few immunocompromised patients exhibited severe lower respiratory tract infection.
wagonjwa wachache pekee ambao kinga zao za mwili ni dhaifu ndio walioonyesha maambukizi kali ya sehemu ya chini ya njia ya kupumua.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
coronaviruses primarily infect the upper respiratory and gastrointestinal tract of mammals and birds.
virusi vya korona kimsingi vinaathiri sehemu ya juu ya njia ya pumu na njia ya gesi za utumbo ya wanyama na ndege.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
in humans, coronaviruses cause respiratory tract infections that can range from mild to lethal.
kwa binadamu, virusi vya korona husababisha maambikizo ya njia ya pumu yanayoweza kuwa ya wastani au mbaya zaidi.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
dad is the cause of acute respiratory distress syndrome (ards) and severe hypoxemia.
dad inasabishwa na acute respiratory distress syndrome (ards) na hiposemia kali.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
gps take nasopharyngeal swabs from persons showing acute respiratory illness within 7 days of the onset of symptoms.
wahudumu wanachukua sampuli za puani kutoka kwa watu wanaopnyesha ungonjwa mbaya wa pumu ndani ya siku 7 za kuanza kwa dalili.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
it was initially found to be prevalent in young children, the elderly and immunocompromised patients with respiratory illnesses.
mwanzoni viligunduliwa kusambaa miongoni mwa watoto wadogo, watu wazee na wagonjwa ambao kinga zao za mwili zimeathirika waliokuwa na magonjwa ya kupumua.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
additionally, nasopharyngeal samples are taken from anyone 5 years and older showing acute onset of ili and respiratory synctial virus.
vilevile, sampuli zinazochukuliwa puani zinachukuliwa kutoka kwa mtu yeyote mwenye umri wa miaka 5 na zaidi anayeonyesha mwanzo wa hali mbaya ya ili na virusi vya pumu.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
swabs are tested at the phe respiratory virus unit for influenza to monitor positivity rates and circulating strains, as well as for measuring vaccine effectiveness.
sampuli zinapimwa katika kitengo cha virusi vya pumu phe kwa ajili homa ya mafua ili kufuatilia viwango vya kuwepo kwa ugonjwa na aina zinazosambaa, pamoja na kupima chanjo kwa ufanisi.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
in severe cases, patients quickly progressed to develop acute respiratory syndrome, septic shock, metabolic acidosis, and coagulopathy.
katika hali mbaya zaidi, wagonjwa waliendelea kuwa na matatizo mabaya ya kupumua, hali inayosababisha viungo vya mwili kutofanya kazi, asidi nyingi mno mwilini na hali ya damu kushindwa kuganda.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
extracorporeal membrane oxygenation (ecmo) has been used to address the issue of respiratory failure, but its benefits are still under consideration.
kifaa cha nje cha kupeleka pumzi mwilini (ecmo) kimetumika kushughulikia matatizo ya kupumua, lakini faida zake bado zinaangaliwa.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
coronaviruses were first discovered in the 1930s when an acute respiratory infection of domesticated chickens was shown to be caused by infectious bronchitis virus (ibv).
virusi vya korona viligunduliwa kwa mara ya kwanza miaka ya 1930 wakati maambukizo kali yanayohusiana na upumuaji katika kuku wa nyumbani ulionekana kusababishwa na virusi vya kuambukiza vya mkamba.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
mechanical ventilation becomes more complex as acute respiratory distress syndrome (ards) develops in covid-19 and oxygenation becomes increasingly difficult.
inakuwa ngumu zaidi kutumia mitambo ya kuingiza hewa kwa kuwa ugonjwa mkali wa matatizo ya kupumua (ards) hutokea kwa covid-19 na inazidi kuwa ngumu kuongeza oksijeni.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
sars-cov-2 causes severe respiratory infection like sars-cov and mers-cov, presented as fever, cough and dyspnea.
sars-cov-2 husababisha maambukizi kali ya kupumua sawa na sars-cov na mers-cov, yanayodhihirika kama joto jingi mwilini, kikohozi na ugumu wa kupumua.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
in addition, baricitinb, interferon-α, lopinavir/ritonavir, and ribavirin have been suggested as potential therapies for patients with acute respiratory symptoms.
isitoshe, baricitinb, interferon-α, lopinavir/ritonavir, na ribavirin zimependekezwa kuwa tiba zinazowezekana kwa wagonjwa walio na dalili za matatizo mabaya ya kupumua.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量: