您搜索了: sanitizer (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

sanitizer

斯瓦希里语

最后更新: 2020-05-08
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

c/sanitizer

斯瓦希里语

c / usafi

最后更新: 2021-01-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

sanitizer in kiswahili

斯瓦希里语

sanitizer

最后更新: 2020-05-29
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

sanitizer in swahili na jinsi yakutumia

斯瓦希里语

sanitizer katika lugha ya kiswahili na njia yakutumia

最后更新: 2020-03-20
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

after filling up, clean your hands with hand sanitizer.

斯瓦希里语

baada ya kujaza, safisha mikono yako kwa kutumia kisafisha mkono.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

alcohol-based hand sanitizer should contain at least 60% alcohol.

斯瓦希里语

kioevu cha kuua vijidudu cha mikono kinafaa kuwa na angalau 60% ya pombe.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

a hand sanitizer or hand antiseptic is a non-water-based hand hygiene agent.

斯瓦希里语

kieuzi au antiseptiki ya mkono ni dawa isiyo ya maji ya kusafisha mikono.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

cdc further recommended using an alcohol-based hand sanitizer with at least 60% alcohol by volume when soap and water are not readily available.

斯瓦希里语

cdc inapendekeza zaidi kutumia kioevu cha mkononi yenye pombe cha kuua viini vya magonjwa chenye angalau asilimia 60 ya pombe kwa kiasi wakati sabuni na maji hazipatikani kwa urahisi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

alcohol-free hand sanitizer efficacy is heavily dependent on the ingredients and formulation, and historically has significantly under-performed alcohol and alcohol rubs.

斯瓦希里语

ufanisi wa kieuzi kisicho na alkoholi hutegemea sana viungo na chembe chembe zake, na kihistoria havijafanya vyema ikilinganishwa na vile vilivyo na alkoholi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

finger tips must be washed well too, rubbing them in both palms.the us center for disease control and prevention recommends hand washing over hand sanitizer rubs, particularly when hands are visibly dirty.

斯瓦希里语

ncha za vidole lazima zioshwe vizuri pia, kwa kuzisugua kwenye viganja vyote.kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa cha marekani hupendekeza kuosha mikono kuliko kutumia vieuzi, hususan wakati ni wazi kuwa mikono ni chafu.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the world health organization and centers for disease control and prevention of the united states advises pregnant women to do the same things as the general public to avoid infection, such as covering cough, avoid interacting with sick people, cleaning hands with soap and water or sanitizer.

斯瓦希里语

shirika la afya duniani na vituo vya kudhibiti na kuzuia ugonjwa huko marekani hushauri wanawake wajawazito kufanya mambo sawa kama umma kwa ujumla ili kuzuia maambukizo, kama vile kujifuka ukikohoa, kuepuka kutangamana na watu wagonjwa, kusafisha mikono kwa kutumia sabuni na maji au kisafisha mikono chenye kileo cha kuua viini.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

adding diluted hydrogen-peroxide increases further the antimicrobial activity.hand sanitizers containing a minimum of 60 to 95% alcohol are efficient germ killers.

斯瓦希里语

kuongeza haidrojeni peroksaidi iliyoyeyushwa huzidisha shughuli ya kupambana na uchafu.vieuzi vya mikono vilivyo na angalau 60 hadi 95% ya alkoholi hufaa katika kuuwa viini.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,740,599,249 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認