您搜索了: screenshot (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

screenshot

斯瓦希里语

picha ya skrini

最后更新: 2024-05-05
使用频率: 6
质量:

英语

screenshot, april 7, 2013.

斯瓦希里语

picha ya skiri ya komputer, aprili 7, 2013.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

screenshot of open data index

斯瓦希里语

screenshot of open data index

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

connectas.org website screenshot.

斯瓦希里语

picha ya tovuti ya connectas.org.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

screenshot from press conference video

斯瓦希里语

picha ya video ya mkutano na vyombo vya habari

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

"lightning bolt" - screenshot by hybridvigour.

斯瓦希里语

“radi ya bolt” - picha na hybridvigour.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

screenshot from video posted on youtube.

斯瓦希里语

picha mnato ya video iliyowekwa kwenye mtandao wa youtube.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a screenshot of the face the balkans website.

斯瓦希里语

picha ya mwonekano wa tovuti ya balkans.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

screenshot from the video featuring firs violent intervention.

斯瓦希里语

picha za skrini kutoka kwenye video inayoonesha vurugu zilizofanywa na fir wakati walipovamia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a screenshot from maidan nezalezhnosti in central kyiv, ukraine.

斯瓦希里语

a screenshot from maidan nezalezhnosti in central kyiv, ukraine.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

screenshot taken from a youtube video uploaded by basim annanow

斯瓦希里语

picha imepigwa kutoka kwenye video ya youtube iliyowekwa na basim annanow

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a screenshot from the petition calling for the minister's resignation.

斯瓦希里语

picha ya tamko linalomtaka waziri huyo ajiuzulu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

screenshot from the cover of a meena comic book. image courtesy unicef

斯瓦希里语

picha iliyopigwa kutoka kwenye gazeti la katuni za meena. picha kwa idhini ya unicef

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a screenshot of a youtube video by nour media center showing the rescue operation

斯瓦希里语

picha iliyopigwa kutoka kwenye video ya youtube na kituo cha habari cha nour inayoonyesha operesheni ya uokoaji

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

screenshot from the opposition's elections commission website for the coordinating council vote.

斯瓦希里语

picha kutoka tovuti ya tume ya uchaguzi ya upinzani kwa uratibu wa kura za baraza.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a screenshot of a youtube video posted by ren tv showing an attack on an ethiopian national.

斯瓦希里语

picha ya video ya you tube iliyowekwa na a ren tv ikionesha kushambuliwa kwa raia wa ethiopia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a screenshot of a tweet by mohammed saber, an anchor at an egyptian television celebrating the murder of shia in egypt.

斯瓦希里语

picha iliyopigwa kutoka kwenye twiti iliyowekwa na mohammed saber, ambaye ni mtangazaji na msimamizi wa matangazo katika televisheni ya misri akisherehekea mauaji ya waumini wa shia waishio misri.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

x communications centre (xkk) published a map and list of the events; below is a screenshot:

斯瓦希里语

kituo cha mawasiliano x (xkk) kilipakia mtandaoni ramani pamoja na orodha ya matukio; zifuatazo ni baadhi ya picha:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

screenshot of a report on pornographic content in facebook saying that erika's photo has been reported and therefore, deleted.

斯瓦希里语

picha ya taarifa kuhusu maudhui ya kingono kwenye mtandao wa facebook ikisema kwamba picha ya erika imelalamikiwa na hivyo, imefutwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a screenshot from independent newspaper daily nation (@dailynation) featuring photos of garissa shooting victims, shared on twitter.

斯瓦希里语

picha ya gazeti huru la daily nation (@dailynation) ikiwa na picha za wahanga wa shambulio la garissa, iliyosambaa kwenye mtandao wa twita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,790,639,965 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認