来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
they are particularly suited to situations where likelihood functions are absent and where more traditional approaches such as markov chain monte carlo are impractical.
zinatumika hasa katika hali ambapo vipengele vya uwezekano havipo na ambapo mielekeo ya kijadi zaidi kama vile markov chain monte carlo haiwezi kutekelezwa.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
it has been reported that sars-cov-2 is sensitive to ultraviolet rays and heat at 56 °c for 30 minutes; ether, 75% ethanol, chlorine-containing disinfectant, peracetic acid, chloroform, and other fatty solvents, but not chlorhexidine, can effectively inactivate the virus.
imeripotiwa kwamba sars-cov-2 huathirika pakubwa na miale ya utraviolet na nyuzi joto ya 56 °c kwa dakika 30; ether, 75% ya ethanol, kisafishaji kilicho na klorini, asidi ya peracetic, chloroform na vimumunyisho vingine vya mafuta, lakini sio chlorhexidine, vinaweza kulemaza virusi hivi kwa ufanisi.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。