您搜索了: signing (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

signing

斯瓦希里语

nakala zilizothibitishwa

最后更新: 2022-01-22
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

join the existing google account by signing in on the right.

斯瓦希里语

jiunge na akaunti ya google iliyoko kwa kuingia upande wa kulia.

最后更新: 2021-09-09
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

expressing her reason for signing the petition, farina alam writes:

斯瓦希里语

akieleza sababu zake za kutia saini kwenye pendekezo hilo, farina alam anaandika akisema:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

this was our fastest growing campaign, with thousands of people signing up every day.

斯瓦希里语

hii ilikuwa ni kampeni yetu iliyokuwa na kasi kubwa kabisa kuliko nyingine yoyote ambapo, maelfu ya watu walikuwa wakijiunga kila siku.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

a degree so suspicious that is feared to be faked, with grammar mistakes and with names signing it who are not even members of the faculty of law!

斯瓦希里语

cheti chenyewe kinatia mashaka makubwa na kinadhaniwa kuwa ni cha kughushi, tena kimejaa makosa ya kiuandishi na wakati huo huo majina yanayoonekana kwenye saini wala si ya yeyote miongoni mwa wanaofundisha katika kitivo cha sheria cha chuo hicho!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

pakistanis of good conscious are signing this petition because the state of pakistan even failed to protect their own governor who spoke out against the draconian blasphemy law, where mere accusation of blasphemy will ensure jail and perhaps worse for the accused.

斯瓦希里语

wapakistani wema wanaweka saini makubaliano haya ya kuishinikiza serikali kuingilia kati jambo hili kwa sababu serikali ya pakistani imeshindwa hata kumlinda mtawala wao mwenyewe ambaye alitokea kupinga hadharani sheria katili ya kukashifu dini ambapo mtuhumiwa anayekashifu dini atalazimika kufungwa jela na na pia hata mtuhumiwa kunyongwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

a secret us plan to support regime change in cuba with a twitter-like messaging service called zunzuneo has now come under the spotlight with news reports that thousands of cubans were duped into signing up for the service under false pretenses.

斯瓦希里语

mpango wa siri wa marekani wa kubadili utawala nchini cuba wenye huduma ya ujumbe inayofanana na twita iitwayo zunzuneo sasa unaangaliwa kwa mashaka baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa maelfu ya wa-cuba walidanganyika kujisajili kupata huduma hizo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

during the discussion on revenue generation which most bloggers didn’t view as an incentive to their blogging quest, most admitted that despite signing up with international online advertising companies, there was very little to show for it with most eventually withdrawing from the service.

斯瓦希里语

katika mjadala uliohusu upatikanaji mapato, kitu ambacho wanablogu wengi, hawakukichukulia kama kichocheo kikubwa katika kiu yao ya kublogu, wengi walikiri kwamba ingawa walikuwa wamejisajili katika makampuni ya kimataifa ya masoko ya mtandaoni, hakukuwa na kitu kikubwa kilichopatikana jambo lililowafanya wengi kujitoa katika huduma.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

youtube accounts are powered by google accounts. signing up for youtube means adding youtube to an existing google account, or create a new account to google (which can also be used for services like blogger, picasa, or gmail).

斯瓦希里语

akaunti za youtube zinaendeshwa na akaunti za google. kujisajili kwa youtube kunamaanisha kwamba unaongeza youtube kwa akaunti ya google iliyoko, ama kufungua akaunti mpya ya google (ambayo pia inaweza kutumika kwa huduma kama blogger, picassa ama gmail).

最后更新: 2016-10-28
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,799,595,100 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認