您搜索了: systematically (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

is a set of internelated concept and generalization that systematically describesand explains behavior

斯瓦希里语

wazo au kuweka mawazo ambayo yanakusudiwa kuelezea ukweli au tukio

最后更新: 2024-03-19
使用频率: 1
质量:

英语

due to this, systematically refute the published information or provide additional commentary on it.

斯瓦希里语

kwa sababu hii, wanakana taarifa zote zilizotangazwa au kutolewa kama maoni ya ziada zinazoihusu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

numerous archaeological sites in syria are being systematically targeted for clandestine excavations by well-organized and often armed groups.

斯瓦希里语

maeneo mengi ya kihistoria nchini syria yamekuwa yakilengwa katika mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo ambao mara nyingi huwa na silaha.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

nigerians will have to look at themselves as a society and question why they have systematically over 50 years done nothing to arrest the slide into oblivion and hopelessness?

斯瓦希里语

wanaijeria itabidi wajiangalie kama jamii na kujiuliza kwa nini hawajafanya lolote kimfumo kwa zaidi ya miaka 50 ili kuzuia kuteleza kuelekea kusahaulika na kukosa matumaini?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in dakar, when an angry crowd manages to catch a delinquent that has just committed an infraction or a crime, he is systematically beaten, and is often seriously injured and may even die.

斯瓦希里语

jijini dakar, wakati kundi la watu wenye hasira linafanikiwa kumkamata kibaka ambaye ametoka kufanya uhalifu, mtu huyo hupingwa kwa mfululizo, na wakati mwingine hujeruhiwa sana na hata kufa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

david ajao discusses nigerian president facebook page: "through a facebook page opened on 28th june 2010, he has systematically been sharing his belief in nigeria and his dream for nigeria."

斯瓦希里语

david ajao anajadili ukurasa wa facebook wa rais wa naijeria: "kwa kupitia ukurasa wa facebook uliofunguliwa tarehe 28 juni 2010, amekuwa akieleza imani yake katika naijeria na ndoto yake ya naijeria."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

i was sentenced to four years in prison for writing about injustice and violation of rights of citizens... i am writing this letter in a 21 square meter cell with 40 cellmates who are criminals, rapists, drug addicts... the islamic republic systematically represses fundamental civil rights and deprives people of freedom.

斯瓦希里语

nilihukumiwa miaka minne gerezani kwa kuandika kuhusu haki na ukiukwaji wa haki za raia ...ninaandika barua hii nikiwa kwenye chumba kidogo chenye eneo la mita 21 mraba nikiwa na wafungwa wengine 40 ambao wengi ni wahalifu, wabakaji, watumiaji wa mabawa ya kulevya...nchi hii ya kiislamu inakiuka haki za msingi za kiraia na kuwanyang'anya watu uhuru.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
9,166,401,361 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認