您搜索了: three years ago (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

three years ago

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

the flooding was the worst in three years.

斯瓦希里语

mafuriko hayo yalikuwa mabaya zaidi katika kipindi cha miaka mitatu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

all this happened but 60 years ago.

斯瓦希里语

haya yote yalitokea miaka 60 tu iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

almost everything is the way it was eight years ago.

斯瓦希里语

karibu kila kitu kiko kama kilivyokuwa miaka nane iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

an individual invests only $200 and his investment is recouped in three years.

斯瓦希里语

mtu binafsi anawekeza dola za kimarekani 200 tu na kitega uchumi chake hurejea baada ya miaka mitatu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

after three years, his prison term was extended after he was charged with sedition.

斯瓦希里语

baada ya miaka mitatu, muda wake gerezani uliongezwa baada ya kushtakiwa tena kwa uchochezi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a couple of bloggers have wished the president well in his new found love following the death of his wife ethel three years ago.

斯瓦希里语

wanabloga wachache wamemtakia heri rais katika mapenzi mapya aliyoyapata baada ya kifo cha mkewe ethel miaka mitatu iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

iranian blogger z8tun summed up the situation about two years ago:

斯瓦希里语

mwanablogu wa irani anayejulikana kama z8tun alihitimisha hali halisi ya mambo yapata miaka miwili iliyopita:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

ten years ago, the economist labeled africa "the hopeless continent".

斯瓦希里语

miaka kumi iliyopita, jarida la kimataifa la the economist liliita afrika “bara lisilo na matumaini”.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

five years ago on june 11, the 19th fifa world cup began in south africa.

斯瓦希里语

miaka mitano iliyopita mnamo juni 11, mashindano ya 19 ya kombe la dunia la fifa yalianza afrika kusini.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

arkibong bayan received a comment from a reader who shared a similar story about how a mango tree saved lives during a natural disaster three years ago

斯瓦希里语

arkibong bayan alipokea maoni kutoka kwa msomaji aliyesimulia kuhusu jinsi mti wa mwembe ulivyookoa maisha wakati wa janga mitatu iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

eighteen other defendants were sentenced to three years in prison and three years on probation, in addition to a similar fine.

斯瓦希里语

washitakiwa wengine kumi na nane walihukumiwa miaka mitatu jela na miaka mitatu mingine ya uangalizi, mbali na kiwango kile kile cha faini.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

at three years old, elephants are trained by their future mahout, to respond different cues, in order to work with humans.

斯瓦希里语

wakiwa na miaka mitatu, tembo hupata mafunzo kutoka kwa wamiliki wanaotarajia kuishi na tembo hao ya namna ya kupokea ishara mbalimbali ili kuweza kufanya kazi pamoja na binadamu.at three years old, elephants are trained by their future mahout, to respond different cues, in order to work with humans.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the authorities already projected the construction of the train station 80 years ago but the project never took off.

斯瓦希里语

mamlaka tayari ilikuwa na makadirio ya ujenzi wa kituo cha treni miaka 80 iliyopita lakini mradi kamwe haukuanzishwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

five governorships were also in play, for the first time since vladimir putin canceled such elections seven years ago.

斯瓦希里语

nafasi tano za ugavana zilikuwa zikigombaniwa, kwa mara ya kwanza tangu vladimir putin kufutilia mbali chaguzi kama hizo miaka saba iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

@beewol: r.i.p sports lovers who perished this day 2 years ago ‪#werememberjuly11

斯瓦希里语

@beewol: mungu azirehemu roho za wapenda kandanda waliopoteza maisha mahali miaka miwili iliyopita na ziweke mahali pema peponi #twakumbuka julai 11‪

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

amer daoud and his wife raghda hassan first met and fell in love as political prisoners in the cells of a syrian prison 15 years ago.

斯瓦希里语

amer daoud pamoja na mke wake raghda hassan kwa mara ya kwanza walikutana na kuwa wapenzi wakiwa kama wafungwa wa kiasiasa kwenye seli za magereza ya syria takribani miaka 15 iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

as my colleague and fellow senegalese leopold sédar senghor, elected to the french academy thirty years ago, i am africanist.

斯瓦希里语

na kama mwandani wangu na msenegali mwenzangu, leopold sédar senghor, aliyechaguliwa kuingia taasisi ya kifaransa miaka thelathini iliyopita, mimi ni mtaalamu wa mambo ya kiafrika.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

built 120 years ago, the musmeah yeshua synagogue in yangon is the last remaining jewish synagogue in buddhist-dominated myanmar.

斯瓦希里语

lilijengwa miaka 120 iliyopita, sinagogi la musmeah yeshua lililoko eneo la yangon ni sinagogi pekee la wayahudi lililoyobaki katika eneo linaloongozwa na waumini wa dini ya kibudha waishio nchini myanmar.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

as a justice of the peace, he should be aware that interracial marriage is not illegal anymore – having been deemed unconstitutional 40 years ago.

斯瓦希里语

kama jaji wa masuala ya amani, anatakiwa kuelewa kwamba ndoa za rangi tofauti si kinyume cha sheria tena – baada ya kuonekana ni kinyume cha katiba miaka 40 iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the second was the defeat of the ruling mmd after clocking 20 years in power and only three years in office of the incumbent president rupiah banda who lost to pf’s michael sata at his fourth attempt at the presidency.

斯瓦希里语

tukio la pili lilikuwa ni kushindwa kwa chama tawala cha mmd baada ya kutimiza miaka 20 madarakani na miaka mitatu tu katika ofisi rais aliyekuwepo rupiah banda ambaye alishindwa na michael sata wa pf ambaye alikuwa katika jaribio lake la nne kugombea urais.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,748,932,358 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認