来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
i celebrate all who have worked silently, tirelessly and with so much care all these years for the greater good of others.
ninawapongeza wote waliofanya kazi kimya kimya, pasipo kuchoka na kwa umakini mkubwa kwa miaka yote hii ili kupigania manufaa ya umma mpana zaidi.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
the egyptian citizen collective mosireen has been tirelessly documenting the #jan25 revolution and the events that followed in images and documentaries.
mkusanyiko wa kiraia la misri mosireen umekuwa, bila kuchoka, ukiweka kumbukumbuza mapinduzi ya januari 25 na matukio yaliyofuata baadae kwa kutumia picha na dokumentari.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
irfan khudi ali, a prominent human rights activist who tirelessly highlighted the persecution of hazara shia in pakistan, passed away in the second attack.
irfan khudi ali, mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu ambaye bila kuchoka aliweka wazi uonevu wa kikabila unaofanywa kwa washia wa hazara nchini pakistan, alifariki katika shambulio lililofuata.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量: