您搜索了: unity and freedom (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

wisdom, unity and peace

斯瓦希里语

hekima,amani, busala na upendo vitawale kwenye maisha yako

最后更新: 2023-09-06
使用频率: 1
质量:

英语

the kurds have been fighting for rights, peace and freedom for decades.

斯瓦希里语

wakurdi wamekuwa wakipigania haki, amani na uhuru kwa miongo kadhaa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

but one of the most successful stories over the years has been the rise of the independent media and freedom of thought.

斯瓦希里语

lakini moja wapo ya habari za mafanikio kwa miaka mingi imekuwa ni kukua kwa uhuru wa habari na maoni.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the irony is, he would like to be seen as liberal and the fighter of press freedom and freedom of speech.

斯瓦希里语

jambo la kinyume ni kuwa, anapenda kuonekana kama mtu mwenye mawazo huru na mpiganiaji wa uhuru wa habari na wa kujieleza.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

nelson mandela is no longer physically among us, but his legacy of sacrifice, perseverance and freedom will endure forever.

斯瓦希里语

nelson mandela hayuko tena kimwili kati yetu, lakini urithi wake wa kujitolea, uvumilivu na uhuru utashamiri milele.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

after the genocide, the country took legal action, creating a national unity and reconciliation commission (nurc).

斯瓦希里语

baada ya mauaji ya kimbari, nchi hiyo ilichukua hatua za kisheria, kujenga tume ya kitaifa ya umoja na maridhiano (nurc).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

being a multi-racial country, the main aim of 1malaysia is to promote national unity and to strengthen the ties between various ethnic groups.

斯瓦希里语

ikiwa ni nchi ya watu wa rangi tofauti, lengo kubwa la malaysia1 ni kuukuza umoja wa kitaifa na kuimarisha ushirikiano baina ya makundi mbali mbali yenye rangi tofauti.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

no doubt these people are being sprayed pink so that police can harrass and interrogate them and abuse them in the effort to crush their spirit of civic duty and freedom of expression!

斯瓦希里语

bila ya shaka watu hawa wananyunyuziwa rangi ya waridi ili polisi waweze kuwanyanyapaa na kuwahoji na kuwaonea wakati wanajaribu kuvunja moyo wao wa jukumu la kiraia na uhuru wa kujieleza!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

but his passion for human rights and freedoms left him in chains.

斯瓦希里语

hata hivyo, hamasa yake ya kutetea haki za binadamu imempelekea kupokonywa uhuru wake.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

under rwandan patriotic front's rule, the post-genocide state has made a large contribution to restoring peace, unity and reconciliation throughout the country.

斯瓦希里语

chini ya utawala wa cha patriotic front, nchi hiyo iliyowahi kukumbwa na mauaji ya kimbari imepiga hatua kubwa katika kurejesha amani, umoja na maridhiano nchini kote.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

instead, she says, it shows an "overt disregard for press freedom and freedom of expression, excessive powers to police, and protections afforded to ordinary citizens."

斯瓦希里语

badala yake, anasema, muswada huo unaonesha “kupuuza uhuru wa habari na kujieleza, mamlaka makubwa kwa polisi, na ulinzi unaotarajiwa kwa wananchi wa kawaida.”

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

the meaning of "a country" cannot be celebrated until it is embodied by political rights and freedoms.

斯瓦希里语

maana ya "nchi" haiwezi kusherehekewa mpaka iwe imefungamanishwa na haki za kisiasa na uhuru.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

atnaf's passion for civic engagement and interest in disseminating information to citizens to understand what the constitution says about their right and freedom led him to co-found the zone9 blog: his passion for human rights activism ignited the interest to co-found the organisation.

斯瓦希里语

hamasa ya atnaf ya kujihusisha na uelimishaji wa jamii na kuvutiwa kwake kusambaza taarifa kwa raia ili kuwafahamisha kile katiba ya nchi inachokizungumzia kuhusiana ha haki na uhuru wao ilimfanya yeye kuwa mmoja wa waanzilishi wa blogu ya zone9: hamasa yake ya kuwa mwanaharakati wa haki za binadamu ilichochea yeye kuwa mmoja wa waanzilishi wa asasi ya zone9.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
9,167,001,418 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認