您搜索了: weaknesses (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

weaknesses

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

depending on the place, journalists face threats from criminal groups or institutional weaknesses.

斯瓦希里语

kulingana na mahali, waandishi wa habari wanapata vitisho kutoka kwa makundi ya uhalifu au udhaifu wa kitaasisi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

despite these efforts, madagascar is faced with certain weaknesses that hinder improvement in health indicators.

斯瓦希里语

pamoja na juhudi zote hizi, madagaska inakabiliwa na mapungufu kadhaa yanayokwamisha uboreshaji wa mambo muhimu katika utoaji wa huduma ya afya.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

god does not provide the quality of everything, he provides the strengths and weaknesses so that he can respect and love others.

斯瓦希里语

mungu hatoi ubora wa kila kitu, hutoa na madhaifu ili umuabdu yeye na kuwaheshimu pamoja na kuwahitaji watu wengine

最后更新: 2023-05-29
使用频率: 1
质量:

英语

when the economic bubble burst in the early 90s it revealed the weaknesses in the japanese system and since then many experts say the country has never completely recovered from recession.

斯瓦希里语

wakati futuzo la uchumi lilipopasuka mwanzoni mwa miaka ya 90 udhaifu uliopo kwenye mfumo wa kijapani ulionekana na tangu hapo wataalamu wengi wanasema kuwa nchi haijapona kutoka kwenye hali mbaya ya uchumi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

nashkur my god for waking me up today is a day full of joy for me and my family a day that has carried so much about my yarabby life through my day i ask you to keep me from the evils and evils of the world lead me in your glorious religion of islam grant me a lawful husband and be good love me mm and my family who will bear my weaknesses and forgive me all my secret and obvious mistakes i made intentionally and unintentionally and give me a happy ending

斯瓦希里语

nashkur mungu wangu kwa kuniamsha siku ya leo siku ilojaa furaha kwangu na familia yangu siku amabyo imebeba mengi sana yanayohusu maisha yangu yarabby kwa kupitia siku yangu hii nakuomba uniepushe na madhila na mabay ya dunia uniongoze katika dini yako tukufu ya uislamu unijaalie mume wa halali na awe mwema anipende mm na familia yangu ambae atanistahamilia madhaifu yangu na unisameh makosa yangu yote yasiri na dhahir nilofany kwa kukusudia na kutokusudia na unijaalie mwisho mwema

最后更新: 2021-11-09
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

in some countries, the legal framework for business leaves room for few incentives due to weaknesses such as lack of credit access, scarcity of information on business opportunities, absence of support for young entrepreneurs (no business incubators) and insufficient skilled workforce for company management.

斯瓦希里语

katika baadhi ya nchi, mfumo wa kisheria kwa ajili ya biashara umetoa motisha kidogo kutokana na udhaifu kama vile ukosefu wa upatikanaji wa mikopo, uhaba wa habari juu ya fursa za biashara, kutokuwepo kwa msaada kwa ajili ya wajasiriamali wadogo (hakuna vituo vya kuuzia biashara) na nguvukazi isiyotosha kwa usimamizi wa kampuni.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,717,878,661 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認