来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
noble writers,
waandishi wenye hishima,
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 2
质量:
true writers are worriers.
waandishi wa kweli ni mashujaa.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
hired comment writers or military students?
aliandika kwa kejeli:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
the writers also include those who have learned in russia.
waandishi wanahusisha hata wale waliopata mafunzo huko urusi.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
and why are news writers in africa not in good books the government?
na, je, kwa nini waandishi wazuri barani afrika hawamo kwenye vitabu vizuri serikali?
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
the two writers, who are switching places every week, went from there.
waandishi hao wawili, ambao wanabadilishana sehemu kila juma, waliendelea kutokea hapo.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
it punishes bloggers, writers and website administrators for violating the lese majeste law.
huwaadhibu wanablogu,waandishi na waratibu wa tovuti kwa kukiuka sheria inayoulinda ufalme dhidi ya aibu.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
african photographers, writers and artists find their voice in blogs · global voices
wapiga picha wa kiafrika, waandishi na wasanii wapata sauti zao kwenye blogu
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
global voices is a community bloggers, activists, writers, and translators from 137 countries.
global voices ni jumuia ya wanablogu, wanaharakati, waandishi, na watafisi kutoka katika nchi 137.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
finding accurate information about arrested and threatened bloggers and online writers is difficult for several reasons.
kupata taarifa sahihi kuhusu wanablogu na waandishi wa mitandaoni waliokamatwa ni jambo gumu kwa sababu mbalimbali.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
far from being a field reserved for writers, dhivehi lies at the heart of all social, economic and cultural life.
mbali ya kuwa ni kitengo kilichotengwa kwa ajili ya waandishi peke yake, ki-dhiveli kipo katikati ya ya maisha yote ya kijamii, kiuchumi na kitamaduni.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
an online caribbean journal for caribbean writers with the kind of turn-around and quick publishing record that these other online journals had.
ni jarida la mtandaoni la kikaribea kwa ajili ya waandishi wa kikaribea ambalo litakuwa na rekodi ya kutengeneza na kuchapisha kwa haraka, kitu ambacho kilikuwepo kwenye majarida haya mengine.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
earlier this year, the general union for sudanese writers, requested al tayeb saleh to be preliminarily nominated to win the 2009 literature noble prize.
mapema mwaka huu, muungano wa waandishi wa sudani, waliomba al tayeb saleh atunukiwe nishani ya fasihi ya nobeli kwa mwaka 2009.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
global voices is a border-less, largely volunteer community of more than 1400 writers, analysts, online media experts and translators.
global voices ni jamii isiyo na mipaka, kwa sehemu kubwa jumuiya ya watu wanaojitolea yenye waandishi, wachambuzi, wataalamu wa uandishi wa mtandaoni na wafasiri wapatao 1400.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
pu is a prominent figure in the weiquan movement, having advocated for writers and journalists in a number of high-profile cases, including artist ai weiwei.
pu ni mtu maarufu anayejulikana kwenye harakati za weiquan, akiwa amewahi kuwatetea waandishi na wanahabari katika kesi kadhaa maarufu, ikiwa ni pamoja na msanii ai weiwei.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
the art of ama ata aidoo, explores the artistic contribution of one of africa's foremost women writers, a trailblazer for an entire generation of exciting new talent.
the art of ama ata aidoo, inasaili mchango wa kisanii wa mmoja wa waandishi wanawake mashuhuri barani afrika, anayeongoza kizazi hiki kwa kipaji kipya cha pekee.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
in mid-2009 another blog-based magazine project went live: zafra lit, which translates short fiction by contemporary cuban writers into english.
katikati ya mwaka 2009, mradi wa gazeti lingine la mtandaoni ulizinduliwa: zafra lit, hili hutafsiri hadithi fupifupi zilizoandikwa na waandishi wacuba kwenda katika kiingereza.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
hired comment writers, lobbying the fight between the president thein sein and vice-senior general min aung hlaing by writing hate comments under the posts of the eleven media, the voice weekly and 7 days news journal.
watoa maoni waliokodishwa, wanahamasisha vurugu kati ya rais thein sein na makamu mkuu wa majeshi min aung hlaing kwa kuandika maoni ya kejeli mwishoni mwa makala katika majarida ya eleven media, the voice weekly na 7 days news journal.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
submit your story for the golden baobab award: "the golden boabab award was established in 2008 to encouraged writers in africa who specialize in books for children and young adults."
wasilisha kisa chako upate fursa kushinda tuzo ya mbuyu wa dhahabu: "tuzo ya mbuyu wa dhahabu ilianzishwa mwaka 2008 kuwahamasisha waandishi wa ki-afarika waliojikita katika vitabu vya watoto na vijana."
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
okay, let's say i am a naughty writer who seems to want to insult your general knowledge of the various countries that you know.
sawa, tuchukulie kwamba mimi ni mwandishi mtukutu ambaye niko kama ninataka kukashifu ufahamu wako wa jumla kuhusu nchi mbalimbali unazozijua.
最后更新: 2021-03-24
使用频率: 1
质量:
参考: