Results for departure translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

departure

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and when he thinks it is the time of departure

Swahili

na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndiko kufariki;

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

max at jewbonics noted his departure from the movement with regret.

Swahili

max kwenye jewbonics alieleza kujitoa kwake kwenye wimbi hilo kwa masikitiko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@tweetingchaga: the british departure from tanganyika in 1961 was premature.

Swahili

@tweetingchaga: kuondoka kwa waingereza kutoka tanganyika mwaka 1961 kulifanyika kabla ya wakati.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for i am now ready to be offered, and the time of my departure is at hand.

Swahili

kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa dhabihu na wakati wa kufariki kwangu umefika.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and bear thou with patience whatsoever they say, and depart from them with a becoming departure.

Swahili

na vumilia hayo wayasemayo, na jitenge nao kwa vizuri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and eat not of that whereon the name of allah hath not been pronounced; for verily that is a departure.

Swahili

wala msile katika wale wasio somewa jina la mwenyezi mungu. kwani huo ni upotofu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

medical screening was performed prior to departure, and four south africans who were showing signs of coronavirus were left behind to mitigate risk.

Swahili

uchujaji wa kimatibabu ilifanywa kabla ya kuondoka, na waafrika kusini wanne waliokuwa wanaonyesha dalili za virusi vya korona waliachwa nyuma kupunguza hatari.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

within the african world view, the departure of a sage is no time for mourning, but a time of reflection on and appreciation of a worthy legacy.

Swahili

katika mtazamo wa afrika duniani, kuondoka kwa jemedari huyo si wakati wa kuomboleza, bali wakati wa kutafakari na kufurahia kumbukumbu yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

anti-mubarak protests have been held across egypt for the 11th day in a row and today's is being dubbed as the departure or final friday.

Swahili

maandamano ya kumpinga mubarak yamekuwa yakifanywa nchini misri kwa siku 11 mfululizo na siku ya leo imepewa jina la ijumaa ya kuondoka au ijumaa ya mwisho.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the people of moses made, after [his departure], from their ornaments a calf - an image having a lowing sound.

Swahili

na baada yake walimfanya ndama kutokana na mapambo yao (kumuabudu), kiwiliwili tu kilicho kuwa na sauti.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

although they weren't granted the possibility to vote in the past presidential and parliamentary elections, they protested to bring awareness to the situation in their country and in some cases to protest the results of the elections and to demand the departure of president kabila.

Swahili

ingawa hawakupewa haki ya kupiga kura katika uchaguzi uliopita wa rais na wabunge, waliandamana kwa lengo la kuifanya dunia kutambua hali inavyoendelea nchini mwao na kwa matukio mengine kupinga matokeo ya uchaguzi na kudai kuondoka kwa rais kabila.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when moses returned to his people, angry and grieved, he said, "how wretched is that by which you have replaced me after [my departure].

Swahili

na alipo rudi musa kwa watu wake, naye amekasirika na kuhuzunika, alisema: ni maovu yalioje mlio nifanyia nyuma yangu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

after the departure of the last u.n. soldier, venuste and some 5,000 others who were gathered on the school grounds were forced to walk a jeering gauntlet of hutu militiamen, soldiers and civilians wielding machetes, guns and other weapons.

Swahili

mara tu baada ya askari wa umoja wa mataifa kuondoka, venuste na watu wengine wapatao 5000 waliokuwa kwenye viwanja vya shule hiyo walilazimishwa kutembea chini ya ulinzi wa wanamgambo wa kihutu waliokuwa wakiwadhihaki, pia walikuwepo askari na raia waliobeba mapanga, bunduki na silaha nyingine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,729,156,024 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK