Results for swala translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

swala

Italian

gazella

Last Update: 2013-09-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

maandamano yalianza baada ya swala ya ijumaa katika msikiti wa mtaa wa wad nubawi huko omdurman.

Italian

il calcio d'inizio delle proteste è stato battuto dopo le preghiere del venerdì, in una moschea del quartiere wad nubawi a omdurman.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baada ya swala, watu walikusanyika mbele ya msikiti na kuandamana kupitia barabara za mitaa ya wad nubawi wakiimba kauli mbiu za kupinga utawala wa nchi hiyo.

Italian

dopo la preghiera, la folla si è radunata di fronte alla moschea e ha marciato lungo una delle strade principali di wad nubawi lanciando slogan contro il regime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

wakati kampeni kwa ajili ya kuongeza uelewano na majadiliano dhidi ya ubaguzi wa rangi kwenye uwanja kumeongezeka katika miaka michache iliyopita katika ulaya, swala mara chache hushughulikiwa ndani ya viwanja vya soka nchini brazil.

Italian

in europa le campagne di sensibilizzazione contro il razzismo in campo si sono intensificate molto negli ultimi anni, mentre in brasile l'argomento è ancora poco trattato all'interno degli stadi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

evakatrina alizifananisha video hizo na swala lile la bradley manning, ambaye ni mwanajeshi wa marekani, aliyekamatwa mwezi mei 2010 nchini iraki akishukiwa kutoa taarifa za siri kwenye wavuti wa wikileaks unaoweka mambo yote hadharani.

Italian

evakatrina ha paragonato questi video al caso di bradley manning , un soldato dell'esercito statunitense arrestato nel maggio 2010 in iraq perchè sospettato di aver ceduto del materiale segreto al sito web wikileaks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

ninafikiri kuwa, kutoa mimba ni chaguo la kila mwanamke kwa kuzingatia kanuni na taratibu zake za kimaadili, na kwa hakika kabisa, siyo swala la wabunge, wanasaikolojia, walimu wa maadili na wengineo.

Italian

penso che l'aborto sia una scelta di ogni singola donna, sui propri principii morali ed etici, non certo una scelta di legislatori, psicologi, pubblici moralisti eccetera.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,747,336,500 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK