Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
ils décrivent l'expérience :
wnafafanua jaribio hilo:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
des témoins partagent leur expérience sur twitter.
watu walioshuhudia tukio hilo walielezea maoni yao kupitia twita.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
quiconque est allé au stade sait que c'est une expérience.
yeyote ambaye amewahi kuhudhuria mechi anajua kwamba hilo huwa tukio la kujua mambo mengi tofauti.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
il partage son expérience sur un blog du global dialogue center :
anatoa maoni yake kupitia blogu ya the global dialogue center:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
il décrit le tournage comme étant une "expérience extraordinaire" :
alielezea zoezi hilo la upigaji picha kama 'uzoefu wa mzuri ajabu':
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
felix a plus de 20 ans d'expérience dans le secteur du k&r .
felix ana uzoefu wa zaidi ya mika 20 katika shughuli za kuokoa waliotekwa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
l’expérience chinoise du test a révélé une précision de seulement 60 à 70 %.
uzoefu wa wachina wa upimaji umeonyesha usahihi ni asilimia 60 hadi 70 tu.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
a votre âge et avec votre prétendue expérience, vous ne savez même pas comment fonctionne un gouv.
katika umri wako na hicho unachokiita uzoefu hujui hata namna serikali inavyoendeshwa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
il raconte cette expérience du quotidien dans la capitale dans un style plein d'humour :
aelezea uhalisia wa maisha ya kila siku katika jiji la konakry akiwa na hali ya uchangamfu usio na mashaka:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
est-ce une expérience habituelle des journalistes somaliens qui assistent des journalistes étrangers dans leurs reportages?
je, huu ndio uzoefu wa wandishi wa kisomali wanaowasaidia waandishi wa kimagharibi kuhabarisha?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
c’est une expérience traumatisante pour beaucoup de personnes et cela les décourage de revenir dans ces centres pour y trouver des soins médicaux.
hali hii inawakatisha watu tamaa na kuwafedhehesha kiasi cha kuamua kutorudi tena katika vituo hivi kwa ajili ya matibabu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
faites part de votre point de vue et de votre expérience sur votre blog, et discutons de l'inégalité sous toutes ses formes.
toa maoni yako na uzoefu wako kwenye blogu yako, na tusimame pamoja kujadili kila aina ya hali za kutokuwepo kwa usawa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
elle nous fait partager une petite «expérience che guevara» qu'elle a faite en allant en voiture à son travail.
anasimulia mkasa wake wa ki-che guevara uliomkuta alipokuwa anaendesha kuelekea kazini.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mais avant tout, le film décrit une pratique coutumière à travers l'expérience d'une fille apeurée prise dans un tourbillon hors de contrôle.
lakini zaidi ya yote, filamu hiyo inasimulia mila za ndoa za asili nchini ethiopia kwa kutumia mkasa wa kweli uliompata msichana mmoja nchini humo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
une ancienne enfant travailleur provenant de mindanao, pitang, partage son expérience dans les plantations lors d'un forum public organisé récemment par eiler :
pitang, kutoka mindanao, ambaye ni mmoja wa watoto waliokuwa wakitumikishwa aelezea uzoefu wake wa kufanya kazi kwenye mashamba makubwa wakati wa mijadala ya wazi iliyoandaliwa na eiler:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
aidez-nous à partager la vision de nelson mandela d’un avenir meilleur pour tous, faites quelque chose ce weekend et partagez votre expérience sur notre page facebook.
tusaidiane katika kueneza ndoto ya nelson mandela ya baadaye iliyo bora kwa wote, shiriki katika shughuli fulani mwisho wa juma hili, na utueleze kuhusu shughuli hiyo kupitia ukurasa wa facebook.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
alan emtage, développeur web et inventeur d'archie, le premier moteur de recherche d'internet, nous parle depuis la barbade de son expérience de pionnier du web.
alan emtage, mtengenezaji wa mtandao na mbunifu wa archie, mtandao wa kwanza wa kutafutia maudhui kwenye intaneti, anazumngumza nasi kutoka barbados kuhusiana na uzoefu wake kama mwanzilishi wa mtandao.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
la veille de la journée de la black pride – célébrée le 20 novembre, date à laquelle le brésil renouvelle son combat contre la discrimination – le collectif audiovisuel du circo voador a procédé à une expérience.
usiku wa mkesha wa siku ya kujivunia weusi nchini brazil – inayosherehekewa tarehe 20 novemba, wakati nchi inapofufua vita vinavyoendelea dhidi ya ubaguzi - circo voador audiovisual collective ilifanya jaribio.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"la maison", c'est l'endroit où la langue des enfants s'épanouit et s'enrichit, et où les enfants acquièrent les différentes formes de discours qui permettent d'exprimer l'expérience humaine.
nyumba ni mahali ambapo maendeleo ya lugha za watoto huongezeka na kukua, na ndipo watoto hujifunza lugha nyingine tofauti zinazowafanya wawasiliane.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible