Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
ni majengo matatu kutoka hapa nilipo; kuna majeruhi!
its three building away from me; there are casualties!
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
badala yake, wafikishe ujumbe wa kweli kutoka hapa kwa watu wao, mashirika au serikali…
rather, they should convey a real message from the ground to their peoples, organizations or governments...
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
tumekuwa tukijihusisha na masuala ya afghanistan kwa takribani miaka 11 sasa, na imekuwa kawaida kuona picha za vita kutoka hapa.
we have been involved in afghanistan for almost 11 years now, and it has become commonplace to see images of the war back here.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
nimerudi mjini gaza kwa muda mchache, baada ya mchana na usiku wa kazi na wauguzi, nitajaribu kutoa muhtasari, ingawa kuna mengi ya kueleza, habari nyingi zinazojitokeza, na ni vigumu kuwafikia wananchi, hata wale walioko kilometa moja tu kutoka hapa.
back in gaza city briefly, after a day and night again with the medics, i’ll try to summarize, though there is too much to tell, too much incoming news, and it’s too hard to reach people, even those just a kilometer away.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.