Hai cercato la traduzione di waadilifu da Swahili a Cinese semplificato

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Chinese

Informazioni

Swahili

waadilifu

Chinese

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Cinese semplificato

Informazioni

Swahili

hali watu wa israeli waliokuwa wakitafuta sheria iletayo kukubaliwa kuwa waadilifu, hawakuipata.

Cinese semplificato

但 以 色 列 人 追 求 律 法 的 義 、 反 得 不 著 律 法 的 義

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

maana tunaamini kwa moyo na kukubaliwa kuwa waadilifu; na tunakiri kwa midomo yetu na kuokolewa.

Cinese semplificato

因 為 人 心 裡 相 信 、 就 可 以 稱 義 . 口 裡 承 認 、 就 可 以 得 救

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yeye alitolewa auawe kwa ajili ya dhambi zetu, akafufuka ili tupate kukubaliwa kuwa waadilifu na mungu.

Cinese semplificato

耶 穌 被 交 給 人 、 是 為 我 們 的 過 犯 、 復 活 、 是 為 叫 我 們 稱 義 。 〔 或 作 耶 穌 是 我 們 的 過 犯 交 付 了 是 為 我 們 稱 義 復 活 了

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini kwa zawadi ya neema ya mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya yesu kristo anayewakomboa.

Cinese semplificato

如 今 卻 蒙   神 的 恩 典 、 因 基 督 耶 穌 的 救 贖 、 就 白 白 的 稱 義

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa kuwa sasa tumekubaliwa kuwa waadilifu kwa damu ya kristo, ni dhahiri zaidi kwamba atatuokoa katika ghadhabu ya mungu.

Cinese semplificato

現 在 我 們 既 靠 著 他 的 血 稱 義 、 就 更 要 藉 著 他 免 去   神 的 忿 怒

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, hawa watakwenda kwenye adhabu ya milele, lakini wale waadilifu watakwenda kwenye uzima wa milele."

Cinese semplificato

這 些 人 要 往 永 刑 裡 去 . 那 些 義 人 要 往 永 生 裡 去

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

na kama kwa kutotii kwa mtu mmoja watu wengi walifanywa wenye dhambi, kadhalika kutii kwa mtu mmoja kutawafanya wengi wakubaliwe kuwa waadilifu.

Cinese semplificato

因 一 人 的 悖 逆 、 眾 人 成 為 罪 人 、 照 樣 、 因 一 人 的 順 從 、 眾 人 也 成 為 義 了

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kama mnatazamia kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya sheria, basi, mmejitenga mbali na kristo; mko nje ya neema ya mungu.

Cinese semplificato

你 們 這 要 靠 律 法 稱 義 的 、 是 與 基 督 隔 絕 、 從 恩 典 中 墜 落 了

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ikiwa basi, kulikuwa na utukufu katika huduma ile iliyoleta hukumu, ni wazi kwamba huduma ile iletayo kukubaliwa kuwa waadilifu itakuwa na utukufu mkuu zaidi.

Cinese semplificato

若 是 定 罪 的 職 事 有 榮 光 、 那 稱 義 的 職 事 、 榮 光 就 越 發 大 了

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, mungu aliwaita wale aliokuwa amewateua; na hao aliowaita aliwakubali kuwa waadilifu; na hao aliowakubali kuwa waadilifu aliwashirikisha pia utukufu wake.

Cinese semplificato

豫 先 所 定 下 的 人 又 召 他 們 來 . 所 召 來 的 人 、 又 稱 他 們 為 義 . 所 稱 為 義 的 人 、 又 叫 他 們 得 榮 耀

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kama yasemavyo maandiko matakatifu: "ni vigumu kwa watu waadilifu kuokolewa; itakuwaje basi kwa wasiomcha mungu na wenye dhambi?"

Cinese semplificato

若 是 義 人 僅 僅 得 救 、 那 不 虔 敬 和 犯 罪 的 人 、 將 有 何 地 可 站 呢

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

mmefika kwenye kusanyiko kubwa la wazaliwa wa kwanza wa mungu, ambao majina yao yameandikwa mbinguni. mnasimama mbele ya mungu aliye hakimu wa wote, na mbele ya roho za watu waadilifu waliofanywa kuwa wakamilifu.

Cinese semplificato

有 名 錄 在 天 上 諸 長 子 之 會 所 共 聚 的 總 會 、 有 審 判 眾 人 的   神 、 和 被 成 全 之 義 人 的 靈 魂

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini, tunajua kwa hakika kwamba mtu hawezi kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa kuitii sheria, bali tu kwa kumwamini yesu kristo. na sisi pia tumemwamini yesu kristo ili tupate kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya imani yetu kwa kristo, na si kwa kuitii sheria.

Cinese semplificato

既 知 道 人 稱 義 、 不 是 因 行 律 法 、 乃 是 因 信 耶 穌 基 督 、 連 我 們 也 信 了 基 督 耶 穌 、 使 我 們 因 信 基 督 稱 義 、 不 因 行 律 稱 義 . 因 為 凡 有 血 氣 的 、 沒 有 一 人 因 行 律 法 稱 義

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi wanapo fikia muda wao, ima warejeeni muwaweke kwa wema, au farikianeni nao kwa wema. na mshuhudishe mashahidi wawili waadilifu miongoni mwenu. na simamisheni ushahidi kwa ajili ya mwenyezi mungu. hivyo ndivyo anavyo agizwa anaye muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho. na anaye mcha mwenyezi mungu humtengezea njia ya kutokea.

Cinese semplificato

当她们满期的时候,你们当善意地挽留她们,或善意地离别她们。你们当以你们的两个公正人为见证,你们当为真主而作证。这是用来教训信仰真主和末日者的。谁敬畏真主,他将为谁辟一条出路。

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,747,796,105 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK