Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
rahanini yenyewe
rahanini maana yake
Ultimo aggiornamento 2020-08-10
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
fatwa yenyewe inapatikana hapa kwa kiarabu.
arabic version is here.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ufuatao ni muhtasari wa barua yenyewe:
here is an excerpt of the letter:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
“ kazakhstani ni nchi yenyewe watu wa imani nyingi.
“kazakhstan is a multi-confessional state.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
sehemu inayosisimua zaidi ni namna sherehe yenyewe inavyoendeshwa.
the most exciting part is always the build up to the ceremony itself.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kitu kilichonishika zaidi siyo ile makala yenyewe, lakini maoni.
now what grabbed my attention wasn’t the article itself, but the comments.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
afrika inahitaji vyombo vyake vya hbari kusimuliza habari zake yenyewe
africa needs own media houses to tell our stories #garrisaattack — idriss ali nassah (@mynassah) april 2, 2015
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
idriss ali nassah alisisitiza uhitaji wa afrika kutangaza habari zake yenyewe:
idriss ali nassah stressed the need for africa to tell its own stories:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
jamii yenyewe ndiyo yenye kuamua ikiwa ni haki kwa wanawake kuendesha ama la.
society itself decides on the right of women to drive.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
basi, sheria yenyewe ni takatifu, na amri yenyewe ni takatifu, ni ya haki na nzuri.
wherefore the law is holy, and the commandment holy, and just, and good.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
tunasikia mtetemo zaidi kwenye nyumba yangu kwa sababu yenyewe ndiyo iko chini na imekwenda chini ardhini.
the shaking is felt more because my house is ground-based.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
huku wakiwa na kamera mkononi, wanavinjari mitaa wakitafuta habari ili kuionesha dunia jinsi kibera inavyojiona yenyewe.
with video cameras in hand, they scout the streets for stories to show the world how kibera sees itself.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
maana ahadi yenyewe ni hii: "nitakujia wakati maalum, naye sara atapata mtoto."
for this is the word of promise, at this time will i come, and sara shall have a son.
Ultimo aggiornamento 2023-10-13
Frequenza di utilizzo: 2
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
mjenzi wa nyumba hupata heshima zaidi kuliko hiyo nyumba yenyewe. hali kadhalika naye yesu anastahili heshima kubwa zaidi kuliko mose.
for this man was counted worthy of more glory than moses, inasmuch as he who hath builded the house hath more honour than the house.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
wakati siku kuu zina maana inayofanana na utamaduni uleule katika nchi zote za kiislamu, maadhimisho yenyewe mara nyingi huwa ni ya aina ya tofauti kwa kila sehemu.
while the holiday shares the same meaning and traditions across the muslim world, the celebrations are often uniquely local.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kanuni mpya na maagizo kutoka kwa serikali ya china yenyewe zinazozuia vyombo vya habari vya china kutokutangaza kitu chochote kuhusiana na tukio la hivi karibuni la google kujiondoa nchin china.
a new set of rules and instructions from the chinese government itself suppresses china media outlets from reporting almost anything about google’s recent pull out from china.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
safi ni maarufu katika kanda, kama ni rahisi kufanya, inaweza kuliwa na karibu chakula chochote au kama vitafunio yenyewe, na inaweza kuokolewa kwa matumizi ya baadaye
clean is popular in the region, as it is easy to do, it can be eaten with almost any food or as a snack itself, and can be saved for future use
Ultimo aggiornamento 2018-04-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kama hapatakuwa na matatizo, udhihirishaji huu wa kupenda kupata mitazamo ya waafrika huenda utapandisha umaarufu wa obama duniani, ambao tayari ni kama mara mbili ya ule wa marekani yenyewe.
with no glitches, this demonstration of interest in the views of africans will probably boost obama's global approval ratings, which already are almost double those of the united states.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
maana, kuhusu sheria hiyo, mimi nimekufa; sheria yenyewe iliniua, nipate kuishi kwa ajili ya mungu. mimi nimeuawa pamoja na kristo msalabani,
for i through the law am dead to the law, that i might live unto god.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
wa-malagarasi wanaamini kwamba madagaska, kama nchi nyingine za kiafrika inao utajiri mkubwa wa rasili mali lakini tatizo likiwa ardhi yenyewe kupokonywa kwa sababu ya utawala mbovu na biashara zisizoangalia maslahi ya wananchi.
many malagasy believe that madagascar, like many other african countries is rich in natural resources but that the land has been plagued by poor governance and unfair trade deals.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: