Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
"msiogope, enyi kundi dogo! maana baba yenu amependa kuwapeni ufalme.
fürchte dich nicht, du kleine herde! denn es ist eures vaters wohlgefallen, euch das reich zu geben.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
tulifanya hivyo si kwa kuwa hatuna haki ya kutaka msaada wenu, ila kwa sababu tunataka kuwapeni mfano.
nicht darum, daß wir es nicht macht haben, sondern daß wir uns selbst zum vorbilde euch gäben, uns nachzufolgen.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nadhani ni jambo jema kwangu, muda wote niishio hapa duniani, kuwapeni moyo na kuwakumbusheni juu ya mambo haya.
ich achte es für billig, solange ich in dieser hütte bin, euch zu erinnern und zu erwecken;
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
na kuwapeni nafuu ninyi mnaoteseka, na sisi pia. atafanya jambo hilo wakati bwana atakapotokea kutoka mbinguni pamoja na malaika wake na wakuu
euch aber, die ihr trübsal leidet, ruhe mit uns, wenn nun der herr jesus wird offenbart werden vom himmel samt den engeln seiner kraft
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mungu anaweza kuwapeni ninyi zaidi ya yale mnayoyahitaji, mpate daima kuwa na kila kitu mnachohitaji, na hivyo mzidi kusaidia katika kila kazi njema.
gott aber kann machen, daß allerlei gnade unter euch reichlich sei, daß ihr in allen dingen volle genüge habt und reich seid zu allerlei guten werken;
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nimewaandikieni barua hii fupi kwa msaada wa silwano, ndugu ambaye namjua na kumwamini. nataka kuwapeni moyo na kushuhudia kwamba jambo hili ni neema ya mungu kweli. kaeni imara katika neema hiyo.
durch euren treuen bruder silvanus (wie ich achte) habe ich euch ein wenig geschrieben, zu ermahnen und zu bezeugen, daß das die rechte gnade gottes ist, darin ihr stehet.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini mkisha teseka muda mfupi, mungu aliye asili ya neema yote na ambaye anawaiteni muushiriki utukufu wake wa milele katika kuungana na kristo, yeye mwenyewe atawakamilisheni na kuwapeni uthabiti, nguvu na msingi imara.
der gott aber aller gnade, der uns berufen hat zu seiner ewigen herrlichkeit in christo jesu, der wird euch, die ihr eine kleine zeit leidet, vollbereiten, stärken, kräftigen, gründen.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nanyi pia watu wa mataifa mengine, mliusikia ujumbe wa kweli yaani habari njema iliyowaletea wokovu, mkamwamini kristo; naye mungu, ili kuonyesha kuwa ninyi ni wake, akawapiga mhuri kwa kuwapeni yule roho mtakatifu aliyetuahidia.
durch welchen auch ihr gehört habt das wort der wahrheit, das evangelium von eurer seligkeit; durch welchen ihr auch, da ihr gläubig wurdet, versiegelt worden seid mit dem heiligen geist der verheißung,
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: