Results for kichwani translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Chinese

Info

Swahili

kichwani

Chinese

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

wakamtemea mate, wakauchukua ule mwanzi, wakampiga nao kichwani.

Chinese (Simplified)

又 吐 唾 沫 在 他 臉 上 、 拿 葦 子 打 他 的 頭

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakampiga kichwani kwa mwanzi, wakamtemea mate; wakampigia magoti na kumsujudia.

Chinese (Simplified)

又 拿 一 根 葦 子 、 打 他 的 頭 、 吐 唾 沫 在 他 臉 上 屈 膝 拜 他

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani.

Chinese (Simplified)

他 們 給 他 穿 上 紫 袍 、 又 用 荊 棘 編 作 冠 冕 給 他 戴 上

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

amueni wenyewe: je, inafaa mwanamke kumwomba mungu bila kuvaa kitu kichwani?

Chinese (Simplified)

你 們 自 己 審 察 、 女 人 禱 告   神 、 不 蒙 著 頭 、 是 合 宜 的 麼

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.

Chinese (Simplified)

兵 丁 用 荊 棘 編 作 冠 冕 、 戴 在 他 頭 上 、 給 他 穿 上 紫 袍

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wewe hukunionyesha ukarimu wako kwa kunipaka mafuta kichwani, lakini huyu mwanamke amefanya hivyo kwa kunipaka mafuta miguu yangu.

Chinese (Simplified)

你 沒 有 用 油 抹 我 的 頭 、 但 這 女 人 用 香 膏 抹 我 的 腳

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akawaona malaika wawili waliovaa mavazi meupe, wameketi pale mwili wa yesu ulipokuwa umelazwa, mmoja kichwani na wa pili miguuni.

Chinese (Simplified)

就 見 兩 個 天 使 、 穿 著 白 衣 、 在 安 放 耶 穌 身 體 的 地 方 坐 著 、 一 個 在 頭 、 一 個 在 腳

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kile kitambaa alichofungwa yesu kichwani. hicho kitambaa hakikuwekwa pamoja na hiyo sanda, bali kilikuwa kimekunjwa na kuwekwa mahali peke yake.

Chinese (Simplified)

又 看 見 耶 穌 的 裹 頭 巾 、 沒 有 和 細 麻 布 放 在 一 處 、 是 另 在 一 處 捲 著

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

macho yake ni kama mwali wa moto, na alikuwa amevaa taji nyingi kichwani. alikuwa ameandikwa jina ambalo hakuna mtu alijuaye isipokuwa tu yeye mwenyewe.

Chinese (Simplified)

他 的 眼 如 火 焰 、 他 頭 上 戴 著 許 多 冠 冕 . 又 有 寫 著 的 名 字 、 除 了 他 自 己 沒 有 人 知 道

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini tunafikiri inafaa tusikie kutoka kwako mwenyewe mambo yaliyo kichwani mwako. kwa maana tujualo sisi kuhusu hicho kikundi ni kwamba kinapingwa kila mahali."

Chinese (Simplified)

但 我 們 願 意 聽 你 的 意 見 如 何 . 因 為 這 教 門 、 我 們 曉 得 是 到 處 被 毀 謗 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha nikamwona malaika mwingine mwenye nguvu akishuka kutoka mbinguni. alikuwa amevikwa wingu, na upinde wa mvua kichwani mwake. uso wake ulikuwa kama jua, na miguu yake ilikuwa kama moto.

Chinese (Simplified)

我 又 看 見 另 有 一 位 大 力 的 天 使 、 從 天 降 下 、 披 著 雲 彩 、 頭 上 有 虹 . 臉 面 像 日 頭 、 兩 腳 像 火 柱

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na timizeni hija na umra kwa ajili ya mwenyezi mungu. na ikiwa mkizuiwa, basi (chinjeni) wanyama walio wepesi kupatikana. wala msinyoe vichwa vyenu mpaka wanyama hao wafike machinjoni mwao. na atakaye kuwa mgonjwa au ana vya kumuudhi kichwani mwake basi atoe fidiya kwa kufunga au kwa kutoa sadaka au kuchinja wanyama. na mtakapo kuwa salama, basi mwenye kujistarehesha kwa kufanya umra kisha ndio akahiji, basi achinje mnyama aliye mwepesi kumpata. na asiye pata, afunge siku tatu katika hija na siku saba mtakapo rudi; hizi ni kumi kaamili. hayo ni kwa ajili ya yule ambaye watu wake hawako karibu na msikiti mtakatifu. na mcheni mwenyezi mungu, na jueni mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu.

Chinese (Simplified)

你们当为真主而完成大朝和小朝。如果你们被困於中途,那末,应当献一只易得的牺牲。你们不要剃发,直到牺牲到达其定所。你们当中谁为生病或头部有疾而剃发,谁当以斋戒,或施舍,或献牲,作为罚赎。当你们平安的时候,凡在小朝後享受到大朝的人,都应当献一只易得的牺牲。凡不能献牲的,都应当在大朝期间斋戒三日,归家後斋戒七日,共计十日。这是家眷不在禁寺区域内的人所应尽的义务。你们当敬畏真主,你们当知道真主的刑罚是严厉的。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,729,306,993 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK