Sie suchten nach: التجربة (Arabisch - Swahili)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Arabic

Swahili

Info

Arabic

التجربة

Swahili

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Arabisch

Swahili

Info

Arabisch

فلا تقسّوا قلوبكم كما في الإسخاط يوم التجربة في القفر

Swahili

msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi mungu; kama walivyokuwa siku ile kule jangwani,

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Arabisch

يعلم الرب ان ينقذ الاتقياء من التجربة ويحفظ الاثمة الى يوم الدين معاقبين

Swahili

kwa hiyo, basi, bwana anajua jinsi ya kuwaokoa katika majaribu watu wanaomcha mungu, na jinsi ya kuwaweka waovu katika adhabu hadi siku ile ya hukumu,

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Arabisch

طوبى للرجل الذي يحتمل التجربة. لانه اذا تزكى ينال اكليل الحياة الذي وعد به الرب للذين يحبونه

Swahili

heri mtu anayebaki mwaminifu katika majaribu, kwani akisha stahimili atapewa tuzo la uzima ambalo mungu aliwaahidia wale wanaompenda.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Arabisch

لانك حفظت كلمة صبري انا ايضا سأحفظك من ساعة التجربة العتيدة ان تأتي على العالم كله لتجرب الساكنين على الارض.

Swahili

kwa kuwa wewe umezingatia agizo langu la kuwa na uvumilivu, nami pia nitakutegemeza salama wakati ule wa dhiki inayoujia ulimwengu mzima kuwajaribu wote wanaoishi duniani.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Arabisch

والذين على الصخر هم الذين متى سمعوا يقبلون الكلمة بفرح. وهؤلاء ليس لهم اصل فيؤمنون الى حين وفي وقت التجربة يرتدون.

Swahili

zile zilizoanguka penye mawe zinaonyesha watu wale ambao wanaposikia juu ya lile neno hulipokea kwa furaha. hata hivyo, kama zile mbegu, watu hao hawana mizizi maana husadiki kwa kitambo tu, na wanapojaribiwa hukata tamaa.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Arabisch

لم تصبكم تجربة الا بشرية. ولكن الله امين الذي لا يدعكم تجربون فوق ما تستطيعون بل سيجعل مع التجربة ايضا المنفذ لتستطيعوا ان تحتملوا.

Swahili

majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Arabisch

بدءً من هذا الشهر، يتمكن الملايين من مستخدمي تطبيق فليب بورد على هواتفهم الذكية أو الحواسيب اللوحية من متابعة محتوى الأصوات العالمية (بلغات مختلفة)، وتطبيق فليب بورد الشهير يتيح تجربة عرض محتوى المستخدم المفضل من وسائل الإعلام وقنوات الإعلام الاجتماعي في هيئة مجلة.

Swahili

kuanzia mwezi huu, mtandao wa global voices (katika lugha tofauti) utakuwa ukipendekezwa kwa mamilioni ya watu wanaotumia zana tumizi iitwayo flipboard kwenye simu zao za kisasa au vifaa vingine vya kielektroniki ili kutengeneza kitu kinachofanana na "gazeti" kitakachokusanya mitandao yenye mvuto na maudhui ya mitandao ya kiraia katika sehemu moja.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,763,828,445 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK