Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
biological diversity has enabled guatemala to stand among the 25 countries with the most variety of natural resources in the world.
uwepo wa viumbe hai wengi tofauti umeiwezesha guatemala kusimama kati ya nchi 25 zenye aina nyingi zaidi za hifadhi asilia duniani.
they are designed to protect from airborne particles like dust but effectiveness against a specific biological agent is not guaranteed for off-label uses.
vimeundwa kukinga dhidi ya chembe zinazopeperuka hewani kama vile vumbi lakini ufanisi wake dhidi ya chembe maalum za kibiolojia hauhakikishwi kwa matumizi yasiyobainishwa.
orphans have a particularly hard lot in islamic countries, where, even if adopted, they don't have the same rights as biological children, and even the muslim moroccans who worked with these kids got kicked off the premises, so there is not a single familiar face taking care of them right now.
yatima wana maisha magumu katika nchi za kiislamu, ambako, hata wakiasiliwa, hawana haki sawa na watoto wa kuzaliwa katika familia, na hata waislamu wa moroko waliokuwa wanafanya kazi na watoto walifukuzwa kutoka kwenye sehemu hiyo, kwa hiyo hakuna sura yoyote inayofamika inayowaangalia watoto hao hivi sasa.