Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
carnal
ya mwili
Letzte Aktualisierung: 2019-11-16
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
and restrain their carnal desires
na ambao wanazilinda tupu zao,
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
the practice of carnal relations is lawful with them.
kwani hao si wenye kulaumiwa.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
do you have carnal relations with men rather than women?
hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio badala ya wanawake?
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
do you, in the world, want to have carnal relations with males
je! katika viumbe vyote mnawaingilia wanaume?
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
then you may have carnal relations with them according to the rules of god.
wakisha t'ahirika basi waendeeni alivyo kuamrisheni mwenyezi mungu.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
avoid having carnal relations with them until their period is over."
basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi. wala msiwaingilie mpaka wat'ahirike.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
for we know that the law is spiritual: but i am carnal, sold under sin.
tunajua kwamba sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni wa kidunia, mimi nimeuzwa kuwa mtumwa wa dhambi.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
it would not be a sin to marry her if you did not have carnal relations with her mother.
ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
do you engage in carnal relations with men, rob the travellers, and commit evil in your gatherings?
nyinyi mnawaingilia wanaume, na mnaikata njia? na katika mikutano yenu mnafanya maovu?
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
if we have sown unto you spiritual things, is it a great thing if we shall reap your carnal things?
ikiwa sisi tumepanda mbegu ya kiroho kati yenu, je, ni jambo kubwa tukichuma kwenu faida ya kidunia?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
if one cannot set free a slave, he must fast for two consecutive months, and only then can he have lawful carnal relations.
na asiye pata mtumwa kumkomboa, basi na afunge miezi miwili mfululizo kabla hawajagusana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
because the carnal mind is enmity against god: for it is not subject to the law of god, neither indeed can be.
maana, mwenye kutawaliwa na fikira za mwili ni adui wa mungu; haitii sheria ya mungu, wala hawezi kuitii.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
now had we so willed we could indeed have exalted him through those signs, but he clung to earthly life and followed his carnal desires.
na tungelitaka tungeli mtukuza kwa hizo ishara, lakini yeye aliushikilia ulimwengu na akafuata pumbao lake.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
those who renounce their wives by calling them mothers and then change their minds about what they have said will have to set free a slave as a ransom and only then will their carnal relations be lawful.
na wale wanao jitenga na wake zao, kisha wakarudia katika yale waliyo yasema, basi wamkomboe mtumwa kabla hawajagusana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
(muhammad), tell the believing men to cast down their eyes and guard their carnal desires; this will make them more pure.
waambie waumini wanaume wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao. hili ni takaso bora kwao.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
for ye are yet carnal: for whereas there is among you envying, and strife, and divisions, are ye not carnal, and walk as men?
maana bado mu watu wa kidunia. je, si kweli kwamba bado uko wivu na magombano kati yenu? mambo hayo yanaonyesha wazi kwamba ninyi bado ni watu wa kidunia, mnaishi mtindo wa kidunia.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
those who slander the unaware but chaste and believing women (of committing unlawful carnal relations) are condemned in this life and in the life hereafter. they will suffer a great punishment
hakika wanao wasingizia wanawake, wanao jihishimu, walio ghafilika, waumini, wamelaaniwa duniani na akhera, nao watapata adhabu kubwa.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
you are forbidden to marry your mothers, daughters, sisters, paternal aunts, maternal aunts, nieces, your foster-mothers, your foster-sisters, your mothers-in-law, your step-daughters whom you have brought up and with whose mothers you have had carnal relations.
mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz: