Sie suchten nach: constancy (Englisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

and bear patiently whatever may befall thee; surely that is true constancy.

Swahili

hayo ni katika mambo ya kuazimiwa..

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

we made a covenant with adam, but he forgot and we found in him no constancy.

Swahili

na hapo zamani tuliagana na adam, lakini alisahau, wala hatukuona kwake azma kubwa.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

but surely he who bears patiently and is forgiving -- surely that is true constancy.

Swahili

na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

and we made covenant with adam before, but he forgot, and we found in him no constancy.

Swahili

na hapo zamani tuliagana na adam, lakini alisahau, wala hatukuona kwake azma kubwa.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

and verily we made a covenant of old with adam, but he forgot, and we found no constancy in him.

Swahili

na hapo zamani tuliagana na adam, lakini alisahau, wala hatukuona kwake azma kubwa.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

pour out constancy on us and make our steps firm: help us against those that reject faith."

Swahili

tumiminie subira, na isimamishe imara miguu yetu, na utusaidie tuwashinde watu makafiri--

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

do as thou art commanded: thou will find me, if allah so wills one practising patience and constancy!"

Swahili

akasema: ewe baba yangu! tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, inshallah, katika wanao subiri.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

"i have rewarded them this day for their patience and constancy: they are indeed the ones that have achieved bliss..."

Swahili

hakika mimi leo nimewalipa kwa vile walivyo subiri. bila ya shaka hao ndio wenye kufuzu.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

my son, establish the prayer, order with honor but forbid dishonor, and bear patiently with whatever may fall upon you, indeed that is true constancy.

Swahili

shika sala, na amrisha mema, na kataza maovu, na subiri kwa yanayo kupata. hayo ni katika mambo ya kuazimiwa..

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

men whom neither merchandise nor sale beguileth from remembrance of allah and constancy in prayer and paying to the poor their due; who fear a day when hearts and eyeballs will be overturned;

Swahili

watu ambao biashara wala kuuza hakuwashughulishi na kumdhukuru mwenyezi mungu, na kushika sala, na kutoa zaka. wanaikhofu siku ambayo nyoyo na macho yatageuka.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

and (remember) isma'il, idris, and zul-kifl, all (men) of constancy and patience;

Swahili

na ismail, na idris, na dhulkifli - wote walikuwa miongoni mwa wanao subiri.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

then will he be of those who believe, and enjoin patience, (constancy, and self-restraint), and enjoin deeds of kindness and compassion.

Swahili

tena awe miongoni mwa walio amini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

"o my son! establish regular prayer, enjoin what is just, and forbid what is wrong: and bear with patient constancy whatever betide thee; for this is firmness (of purpose) in (the conduct of) affairs.

Swahili

shika sala, na amrisha mema, na kataza maovu, na subiri kwa yanayo kupata. hayo ni katika mambo ya kuazimiwa..

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
8,941,739,532 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK