Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
was he not a sperm of emission emitted?
kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa?
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
uln tried to sort out what had happened in copenhagen and questioned why the developed countries did not sign among themselves a deal for reducing emission.
uln alijaribu kuchambua ni nini kilichotokea copenhagen na kuhoji kwa nini nchi zinazoendelea hazikusaini baina yao wenyewe makubaliano ya kupunguza utokaji wa gesi ya ukaa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
globalwarming arclein, a blog on how agriculture can help reduce carbon emission, says that the low tech approach of biogas makes it accessible to the majority of nepalese people who live in villages:
globalwarming arclein, blogu inayoandika kuhusu jinsi kilimo kinavyoweza kusaidia kupunguza gesi ya ukaa, inasema kwamba teknolojia ya hali ya chini ya gesi inayotokana na samadi inasababisha gesi hiyo kuwafikia wanepali walio wengi ambao wanaishi vijijini:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
a recent report by afp divulges that nepal is making money (almost 600,000 us$ in 2007) trading carbon emissions with the help of numerous biogas plants across the country.
taarifa ya hivi karibuni ya afp inadokeza kwamba nepal inatengeneza pesa (karibu dola 600,000 za kimarekani mwaka 2007) kwa kuuza kaboni kwa msaada wa vituo kadhaa vya gesi inayotokana na samadi nchini kote.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: