Google fragen

Sie suchten nach: entrepreneurs (Englisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

Internet cafés have sprung up in some settlements, the hardware purchased by refugee entrepreneurs or donated by humanitarian organisations such as UNHCR.

Swahili

Migahawa ya intaneti imechipuka katika sehemu walizofikia, na vifaa vimenunuliwa na wajasiriamali wakimbizi au vilivyotolewa na mashirika ya misaada ya kibinadamu kama vile UNHCR.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Will African entrepreneurs know how to integrate the principles of corporate governance with the ubuntu philosophy in which the group comes before the individual?

Swahili

Je wajasiriamali wa Afrika wanaweza kujua jinsi ya kuunganisha kanuni falsafa ubuntu za utawala bora na ambao kikundi huja kabla ya mtu binafsi?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Their researches led them to consider the weight of cultural values and principles strongly anchored into the collective psyche of African businessmen to evaluate the factors for success for African entrepreneurs.

Swahili

Utafiti wao uliwasababisha kuzingatia uzito wa maadili ya kitamaduni na kanuni ambazo zilizojikita katika mawazo ya kawaida ya wafanyabiashara wa Afrika ili kutathmini sababu za mafanikio ya wajasiriamali wa Afrika.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

@gbengasesan is a Nigerian social entrepreneur with keen interest in the use of ICTs for development; towards the creation of improved livelihood opportunities.

Swahili

@gbengasesan ni mjasiriamali wa kijamii wa Naijeria mwenye kuvutiwa sana matumizi ya TEKNOHAMA katika maendeleo; kuelekea kwenye kuzalisha fursa zilizo bora na zenye uhakika.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Africa has 65 million Small and Medium Enterprises (SMEs) , nevertheless it is still struggling to develop a class of local entrepreneurs to manage strategic industries, specifically the export of agricultural raw materials, mining, transport and industry public works where the market too often turns to foreign managers.

Swahili

Afrika ina viwanda vidogo na vya kati vipatavyo milioni 65 , hata hivyo bado inajikongoja kuendeleza kundi la wajasiriamali wa ndani wa kusimamia viwanda vya kimkakati, hususani mauzo ya mazao ya nje ya mazao ya kilimo, madini, usafiri na sekta ya viwanda vya umma ambapo soko mara nyingi mno hugeuka kuwa ya mameneja wa kigeni.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Ashifi Gogo from Ghana is an entrepreneur with an innovative solution involving mobile phones.

Swahili

Ashifi Gogo wa Ghana, ni mjasiriamali ambaye amezindua ubunifu wa kutumia simu za mkononi.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

In some countries, the legal framework for business leaves room for few incentives due to weaknesses such as lack of credit access, scarcity of information on business opportunities, absence of support for young entrepreneurs (no business incubators) and insufficient skilled workforce for company management.

Swahili

Katika baadhi ya nchi, mfumo wa kisheria kwa ajili ya biashara umetoa motisha kidogo kutokana na udhaifu kama vile ukosefu wa upatikanaji wa mikopo, uhaba wa habari juu ya fursa za biashara, kutokuwepo kwa msaada kwa ajili ya wajasiriamali wadogo (hakuna vituo vya kuuzia biashara) na nguvukazi isiyotosha kwa usimamizi wa kampuni.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

It was only when some bastard called “Neil van Schalkwyk, the co-owner of Masincedane Sport, which manufactures the plastic vuvuzela, won the SAB KickStart Award in 2001, which is an SAB-run project that assists entrepreneurs by providing grants and mentorship during the start-up phase of business.” that the vuvuzela really started making an impact.

Swahili

Ilikuwa mpaka mwanaharamu anayeitwa “Neil van Schalkwyk, mmiliki mwenza wa Masincedane Sport, inayozalisha mavuvuzela ya plastiki, aliposhinda Tuzo ya SAB KickSrart ya mwaka 2001, ambayo ni mradi wa kuwasaidia wajasiriamali kwa kutoa misaada na mwongozo katika kuanzisha biashara.” Ndipo vuvuzela lilipoanza kujulikana.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Replying to @Another_craig, South African entrepreneur Sello Rabele (@sellorabs) wrote that he wishes to be a soldier when he grows up:

Swahili

Akimjibu @Another_craig, mjasiria mali wa Afrika Kusini Sello Rabele (@sellorabs) alindaika kwamba anatamani kuwa mwanajeshi akikua:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Sergey Dolya, a popular travel blogger and social media entrepreneur, posted this enthusiastic entry :

Swahili

Sergey Dolya, mwanablogu maarufu wa masuala ya safari na mjasiriamali wa zana za kijamii za mtandaoni, alituma makala hii akionyesha alivyofurahishwa :

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

While Edgar Mwine, an unemployed graduate of economics, quoted lawyer, policy analyst and social entrepreneur Godber Tumushabe:

Swahili

Wakati Edgar Mwine, mhitimu wa uchumi asiye na ajira, alimnukuu mwanasheria, mchambuzi wa sera na mjasiria mali wa kijamii Godber Tumushabe:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Zimbabwean social entrepreneur Sir Nigel (@SirNige) has not not given up hope:

Swahili

Mjasiria mali wa kijamii wa Zimbabwe Sir Nigel (@SirNige) hakukata tamaa:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK