Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
the salutation of paul with mine own hand, which is the token in every epistle: so i write.
kwa mkono wangu mwenyewe naandika hivi: salamu kutoka kwa paulo! hivi ndivyo ninavyotia sahihi kila barua; ndivyo ninavyoandika.
and if any man obey not our word by this epistle, note that man, and have no company with him, that he may be ashamed.
huenda kwamba huko kuna mtu ambaye hatautii huu ujumbe tunaowapelekeeni katika barua hii. ikiwa hivyo, basi, mfichueni mtu huyo na msiwe na uhusiano wowote naye kusudi aone aibu.
therefore, brethren, stand fast, and hold the traditions which ye have been taught, whether by word, or our epistle.
basi, ndugu, simameni imara na zingatieni yale mafundisho tuliyowafundisheni kwa mahubiri yetu na barua zetu.
this second epistle, beloved, i now write unto you; in both which i stir up your pure minds by way of remembrance:
wapenzi wangu, hii ni barua ya pili ninayowaandikia. katika barua hizo mbili nimejaribu kufufua fikira safi akilini mwenu kwa kuwakumbusheni mambo haya.
and when this epistle is read among you, cause that it be read also in the church of the laodiceans; and that ye likewise read the epistle from laodicea.
mkisha soma barua hii, hakikisheni kwamba inasomwa na wakristo wa laodikea; na ninyi fanyeni mpango mpate kuisoma barua waliyoipata kwao.
for though i made you sorry with a letter, i do not repent, though i did repent: for i perceive that the same epistle hath made you sorry, though it were but for a season.
maana, hata kama kwa barua ile yangu nimewahuzunisha, sioni sababu ya kujuta. naam, naona kwamba barua hiyo iliwatia huzuni lakini kwa muda.
forasmuch as ye are manifestly declared to be the epistle of christ ministered by us, written not with ink, but with the spirit of the living god; not in tables of stone, but in fleshy tables of the heart.
ni dhahiri kwamba ninyi ni barua ya kristo aliyoipeleka kwa mikono yetu. barua yenyewe imeandikwa si kwa wino, bali kwa roho wa mungu hai; imeandikwa si juu ya kipande cha jiwe, bali juu ya mioyo ya watu.
as also in all his epistles, speaking in them of these things; in which are some things hard to be understood, which they that are unlearned and unstable wrest, as they do also the other scriptures, unto their own destruction.
hayo ndiyo asemayo katika barua zake zote anapozungumzia suala hilo. yapo mambo kadhaa katika barua zake yaliyo magumu kuyaelewa, mambo ambayo watu wajinga, wasio na msimamo, huyapotosha kama wanavyopotosha sehemu nyingine za maandiko matakatifu. hivyo wanasababisha maangamizi yao wenyewe.