Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
i'm doing good
Letzte Aktualisierung: 2021-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
i am doing good
nafanya vizuri
Letzte Aktualisierung: 2022-11-22
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
keep doing good
zawadi ya kufanya mema
Letzte Aktualisierung: 2023-12-01
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
say: 'doing good for them is best.
sema: kuwatengenezea ndio kheri.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
he said no, and i said 'well, then i will continue to do what i’m doing.'
alikataa, na nikamwambia, 'kama ni hivyo, nitaendelea kufanya kile ninachokifanya.'
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
who hinders men from (doing) good, the transgressor, the iniquitous,
mwenye kuzuia kheri, dhaalimu, mwingi wa madhambi,
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
those whose efforts are misguided in the life of the world, while they suppose they are doing good.’
ni wale ambao juhudi yao katika maisha ya dunia imepotea bure, nao wanadhani kwamba wanafanya kazi nzuri.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
it is they who vie with one another in doing good works and shall be the foremost in doing so.
basi wote hao ndio wanao kimbilia katika mambo ya kheri, na ndio watakao tangulia kuyafikia.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
they are those whose efforts have been wasted in the life of the world while they thought they were doing good.
ni wale ambao juhudi yao katika maisha ya dunia imepotea bure, nao wanadhani kwamba wanafanya kazi nzuri.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
it will be those whose effort went astray in the life of the world and who believe nevertheless that they are doing good.
ni wale ambao juhudi yao katika maisha ya dunia imepotea bure, nao wanadhani kwamba wanafanya kazi nzuri.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
each community has its own direction in which it turns: vie, then, with one another in doing good works.
na kila mmoja anao upande anao elekea. basi shindanieni mema.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
do not implicate god in your oaths to avoid doing good and being pious and keeping peace among men, for god hears all and knows everything.
wala msifanye jina la mwenyezi mungu katika viapo vyenu kuwa ni kisingizio cha kuacha kufanya wema na kuchamngu na kupatanisha baina ya watu. na mwenyezi mungu ni mwenye kusikia na mwenye kujua.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
they believe in god and the day of judgment. they command people to follow good, prohibit others from committing evil and compete with each other in doing good deeds.
wanamuamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho, na wanaamrisha mema na wanakataza maovu na wanakimbilia katika mambo ya kheri.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
they make others commit sins, prevent them from doing good deeds, and restrain their hands (from spending for the cause of god).
huamrisha maovu na huyakataza mema, na huifumba mikono yao.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
nay, but whosoever surrendereth his purpose to allah while doing good, his reward is with his lord; and there shall no fear come upon them neither shall they grieve.
sivyo hivyo! yeyote anaye elekeza uso wake kwa mwenyezi mungu naye ni mtenda mema, basi ana malipo yake kwa mola wake mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
who is better in religion than he who surrendereth his purpose to allah while doing good (to men) and followeth the tradition of abraham, the upright?
na nani aliye bora kwa dini kuliko yule aliye usilimisha uso wake kwa mwenyezi mungu, naye akawa mwema, na anafuata mila ya ibrahim mwongofu?
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
as for the first outstrippers among the migrants and supporters and those who followed them in doing good, allah is pleased with them and they are pleased with him. he has prepared for them gardens underneath which rivers flow, where they shall live for ever.
na wale walio tangulia, wa kwanza, katika wahajiri na ansari, na walio wafuata kwa wema, mwenyezi mungu ameridhika nao, na wao wameridhika naye; na amewaandalia bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
[we said], "if you persevere in doing good, you will be doing good to yourselves; but if you do evil, it will go against you."
basi mkifanya wema, mnajifanyia wema nafsi zenu. na mkifanya ubaya, mnajifanyia wenyewe.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
(even though you have the right to speak evil if you are wronged), if you keep doing good -whether openly or secretly -or at least pardon the evil (then that is the attribute of allah). allah is all-pardoning and he has all the power to chastise.
mkidhihirisha wema au mkiuficha, au mkiyasamehe maovu, hakika mwenyezi mungu ni mwingi wa maghfira na muweza.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz: