Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
sophisticated digital equipment, worth over usd 500 million, were imported.
vifaa vya kisasa vya kidijitali, vyenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 500 viliagizwa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
the face of yangon has already changed, with new building construction and imported cars.
sura ya mji wa yangon ilishabadilika, majengo mengi mapya yakijengwa pamoja na magari mengi yanayoingizwa nchini humu.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
workers are protesting skyrocketing unemployment and the rising costs of basic necessities, many of which are imported from france.
wafanyakazi wanapinga ukosefu wa ajira unaoongezeka pamoja na kupanda kwa bei za bidhaa muhimu, ambazo nyingi zake huagizwa kutoka ufaransa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
whereas most of the laboratory-confirmed cases originate from the middle east, imported cases with occasional secondary spreads to close contacts have been reported in various european countries and tunisia.
ingawa visa vingi vilivyothibitishwa kwenye mahabara vilitokea mashariki ya kati, visa kutoka nchi za nje vilivyoenea mara kwa mara kwa watu wengine hadi kwa watu waliotangamana nao kwa karibu vimeripotiwa katika nchi za ulaya na tunisia.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
another trend in these discussions is the issue of other musical genres besides dancehall (i.e. soca and calypso, hip hop, rap etc.), especially as jamaica enters its carnival season - a time when imported soca music takes centre stage across the island.
mwelekeo mwingine katika majadiliano haya yanahusu mitindo mingine ya muziki ukiachilkia mbali muziki wa dancehall (yaani, soca na calypso, hip hop, miziki ya kufoka n.k.), hasa kutokana na kwamba jamaika ndiyo inaingia kwenye msimu wa kanivali – kipindi ambacho miziki ya soca inachukua jukwaa la kati visiwani kote.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: