Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
purify your inner self,
na nguo zako, zisafishe.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
thus my inner-self suggested to me."
na hivi ndivyo ilivyo nielekeza nafsi yangu.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
that is what my inner self prompted me to do."
na hivi ndivyo ilivyo nielekeza nafsi yangu.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
and human inner-selves are swayed by greed.
na nafsi zimewekewa machoni mwake tamaa na choyo.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but allah saved; he knows the inner most thoughts in the chests.
lakini mwenyezi mungu kakuvueni. hakika yeye ni mwenye kuyajua yalio vifuani.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
he replied, "certainly, in that case you will join my inner circle."
naam! na hakika mtakuwa katika watu wa mbele.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
those who shout out to thee from without the inner apartments - most of them lack understanding.
hakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
shripriya mahesh at tatvam (inner truth) loved the movie and writes:
shripriya mahesh wa tatvam (ukweli wa ndani) ameipenda hiyo filamu na anaandika:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
he is the first and the last, and the outer and the inner, and he has knowledge of all things.
yeye ndiye wa mwanzo na ndiye wa mwisho, naye ndiye wa dhaahiri na wa siri, naye ndiye mjuzi wa kila kitu.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
he it is who bestowed inner peace on the hearts of the believers so that they may grow yet more firm in their faith.
yeye ndiye aliye teremsha utulivu katika nyoyo za waumini ili wazidi imani juu ya imani yao.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
more than 500 dead wild water birds appeared in the lake areas of inner mongolia since this summer as a result of water pollution.
zaidi ya ndege wa majini 500 wameonekana wakiwa wamekufa katika eneo la maziwa nchini mongolia tangu kuanza kwa majira ya kipindi cha joto kutokana na maji kuchafuliwa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
the way i have dressed over the years may have been accepted by some in my inner circles and criticized by others; this is true.
namna nilivyovaa kwa miaka yote hiyo imekuwa ikikubaliwa na baadhi ya marafiki wangu wa karibu na kukosolewa na wengine; hii ni kweli.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
and they rejected them, while their [inner] selves were convinced thereof, out of injustice and haughtiness.
na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
that he would grant you, according to the riches of his glory, to be strengthened with might by his spirit in the inner man;
namwomba mungu, kadiri ya utajiri wa utukufu wake, awajalieni kwa uwezo wa roho wake, nguvu ya kuwa imara ndani yenu,
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
many of the people of the book are eager to turn you into unbelievers after your faith, out of their inner envy, after the truth had become manifest to them.
wengi miongoni mwa watu wa kitabu wanatamani lau wange kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili ya uhasidi uliomo ndani ya nafsi zao, baada ya kwisha wapambanukia haki.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
she says, "to discover freedom sometimes we need to go through very crazy moments or insanity sometimes to just realize what is freedom or how important freedom can be for our individual deep inner selves.
anasema, "kuugundua uhuru wakati mwingine tunahitaji kupitia nyakati ngumu au hata ukichaa wakati mwingine ili kuelewa nini maana ya uhuru na kwa jinsi gani uhuru waweza kuwa muhimu kwa utu wetu wa ndani.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
the ban on twitter, which reportedly effects some 10 million users in turkey, follows the publication of documents allegedly exposing corruption in prime minister recep tayyip erdogan's inner circle.
kufungiwa kwa mtandao wa twita, kulikoripotiwa kuathiri watu zaidi ya milioni 10 wanaotumia mtandao huo nchini uturuki, hali iliyofuatia kuchapishwa kwa nyaraka zinazosemekana 'kufunua' ufisadi wa maswahiba wa karibu wa waziri mkuu recep tayyip erdogan.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
you know what is in my inner-self though i do not know what is in yours, truly, you, only you, are the all-knower of all that is hidden and unseen.
wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. hakika wewe ndiye mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
"we have been your friends in the life of this world and are (so) in the hereafter. therein you shall have (all) that your inner-selves desire, and therein you shall have (all) for which you ask for.
sisi ni vipenzi vyenu katika maisha ya dunia na katika akhera, na humo mtapata kinacho tamaniwa na nafsi zenu, na humo mtapata mtakavyo vitaka.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung