Google fragen

Sie suchten nach: intersection (Englisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

Blogger, writer and teacher Moom Rahaman calls everyone to join in at the Shahbag intersection:

Swahili

Mwanablogu, mwandishi na mwalimu, Moom Rahaman anamtaka kila mmoja kufika katika makutano ya Shahbag:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

The restaurant, the most high end of the half dozen or so Ethiopian restaurants within 500 meters, sits at the intersection of Ggaba Road and Tank Hill Road.

Swahili

Mgahawa, upo upande wa juu wa kiasi cha nusu dazeni au zaidi kidogo ya mighahawa ya Ki-Ethiopia ndani ya kiasi cha mita 500, ipo katikati ya makutano ya Barabara ya Ggaba na ile ya Tank Hill.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

As reported by Voces Mayas , María del Carmen explained that while appealing to refrain from violent measures, the indigenous communities blocked the Cuatro Caminos intersection because the government and the corporations did not respond to their clear demands.

Swahili

Taarifa iliyotolewa na Voces Mayas , María del Carmen alieleza kuwa, wakati akisihi kuacha kutumia nguvu, jamii za watu wazawa walifunga njia panda ya Cuatro Caminos kufuatia serikali na mashirika kushindwa kusikiliza madai yao ya msingi.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

The Privacy Group at MIT Media Lab has been developing SafePaths, a platform for using privacy-preserving techniques when collecting and using location or path intersection data to track the spread of COVID-19.

Swahili

Kikundi cha Faragha katatika MIT Media Lab kimekuwa kikitengeneza SafePaths, jukwa la kutumia mbinu za kuhifadhi faragha wakati wa kukusanya na kutumia eneo au data ili kufuatilia maambukizo ya COVID-19.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Drop by drop, the Shahbag intersection in Bangladesh's capital city Dhaka has become an ocean of people, demanding justice for atrocities committed during the country's 1971 liberation war and death penalty for war criminals.

Swahili

Kidogo kidogo, makutano ya Shahbag katika mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka umefurika watu wenye lengo la kutaka haki sawa kufuatia ukatili uliofanywa mwaka 1971 wakati wa harakati za vita vya kudai uhuru pamoja na hukumu ya kifo kwa wahalifu wa vita.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Rebekah Heacock is currently a master's candidate at the Columbia University School of International and Public Affairs, where she studies the intersection of ICT and development and edits SIPA’s blog, The Morningside Post.

Swahili

Rebekah Heacock ambaye hivi sasa anafanya masomo ya shahada ya uzamiri katika Chuo Kikuu cha Columbia kinachoshughulika na Masuala ya Kimataifa na ya Umma, yeye pale anasoma uhusiano kati ya masuala ya Taarifa, Mawasiliano na Teknolojia (ICT) na maendeleo.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK