Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
messi
mess masom13671367
Letzte Aktualisierung: 2023-06-14
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
his study was funded by the qatar foundation, the same organization that sponsors fc barcelona, home of lionel messi.
utafiri wake uligharamiwa na mfuko wa qatar, shirika lile lile linalofadhili timu ya mpira ya barcelona, anayoichezea lionel messi.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
in the city of rosario, where lionel messi, Ángel di maría and maxi rodríguez, three players from the argentinian squad, were born, residents celebrated like this:
katika jiji la rosario, walikozaliwa lionel messi, Ángel di maría na maxi rodríguez, wachezaji watatu nyota wa kikosi cha ajentina, wakazi walisherehekea kama ifuatavyo:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
argentina fans, meanwhile, can rejoice because they will have an opportunity to watch their team play against germany in the final as lionel messi, one of the all time greats, plays with heartthrob ezekiel lavezzi beside him in attack.
mashabiki wa ajentina, wakati huo huo, wanaweza kusherehekea kwa sababu watakuwana fursa ya kutazama timu yao ikicheza dhidi ya ujerumani katika fainali kama lionel messi, mmoja wapo wa wachezaji maarufu zaidi kuwahi kuwepo, atakavyokuwa akicheza na ezekiel lavezzi pembeni mwake kwa kumkabili.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
brazil, tell me how it feels to have your daddy home / i swear that even though time passes by we won't forget it / that diego dribbled past you and cani scored on you / you have been crying since italy / you'll see messi bring us the cup / maradona is greater than pelé.
brazili, niambie unavyojisikia kumpokea baba yenu / ninaapa kwamba hata kama muda utapita sitasahau / kwamba diego aliwapita walinzi wako na cani akautia mpira kimiani / mmekuwa mkilia tangu enzi za italia / mtamwona messi akituletea kombe / maradona ni mkali kuliko pelé.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: